Biashara zinazokua kwa kasi na kushamiri

alongakeke

Member
Joined
Feb 3, 2017
Posts
98
Reaction score
30
Salaam Wakuu,
Kadri siku zinavoenda kunatokea mabadiliko kadha wa kadha katika sector mbali mbali za kiuchumi kuanzia usafirishaji , kilimo,biashara na Huduma, n.k katika taifa letu.

Mabadiliko haya ni matokeo ya mabadiliko mengine katika mifumo ya kisiasa na utawala,Sayansi na Teknolojia, Tamaduni , Hali ya hewa na Tabia ya nchi na mengine mengi.

Kwa kuzingatia muktadha huu wakuu, naomba tufahamishane fursa mbali mbali za biashara zinazokua kwa kasi sasa hivi katika uchumi wa Tanzania,

Na tusiishie hapo tu bali pia tutoe utabiri kulingana na mabadiliko ya ya mifumo ya kisiasa,sayansi na teknolojia kama nilivoainisha hapo mwanzo, ni sector zipi katika uchumi wetu zinaonyesha dalili ya kuja kutoa fursa adhimu za uwekezaji na biashara takriban miaka 8 mpka kumi ijayo.

Karibuni tujadili wakuu.
 
Idadi ya watu inakwenda kuongezeka maradufu by the year 2030 !

Hivyo kwa Afrika, fanya yafuatayo:

1. Jenga Hospitali.

2. Brand Buiding & Marketing. - Hapa utajielekeza pia kwenye Manufacturing kwa baadaye

3. Kilimo ( Hapa unaweza kuunganisha na Export ) !

4. Teknolojia + Retailing ( Trend Products )

N.B Hakikisha unakuwa very updated na teknolojia na mifumo ya kisasa ya kibiashara. Utafanikiwa !
 
Biashara ya kina dada pouwa hii biashara inakuwa kwa kasi nakushamili karibia tanzania nzima mijini na vijijini ukienda ukiitaji hii huduma unaipata.
hii ni kubwa sana nimesikia kanda ya ziwa wanabadili K na gunia la mpunga(yaani dada poa hauzi kwa hela, malipo ni mpunga)
 
Salaam Wakuu,
Kadri siku zinavoenda kunatokea mabadiliko kadha wa kadha katika sector mbali mbali za kiuchumi kuanzia usafirishaji , kilimo,biashara na Huduma, n.k katika taifa letu.

Mabadiliko haya ni matokeo ya mabadiliko mengine katika mifumo ya kisiasa na utawala,Sayansi na Teknolojia, Tamaduni , Hali ya hewa na Tabia ya nchi na mengine mengi.

Kwa kuzingatia muktadha huu wakuu, naomba tufahamishane fursa mbali mbali za biashara zinazokua kwa kasi sasa hivi katika uchumi wa Tanzania,

Na tusiishie hapo tu bali pia tutoe utabiri kulingana na mabadiliko ya ya mifumo ya kisiasa,sayansi na teknolojia kama nilivoainisha hapo mwanzo, ni sector zipi katika uchumi wetu zinaonyesha dalili ya kuja kutoa fursa adhimu za uwekezaji na biashara takriban miaka 8 mpka kumi ijayo.

Karibuni tujadili wakuu.
Siasa na kuanzisha kanisa vinalipa sana!
 
Kupasua kokoto.
Kanda ya ziwa kwa sasa gunia moja la mpunga bei yake inachezea kwenye elfu hamsini hivi ukiingia ndani sana bei yake mpaka elfu arobaini na tano ina maana dada siku akipiga vichwa vitatu kwa haraka haraka ana laki moja na nusu mpaka laki na therathini, sasa akipiga mwiki moja game likikubali mambo si haba.
 
Salaam Wakuu,
Kadri siku zinavoenda kunatokea mabadiliko kadha wa kadha katika sector mbali mbali za kiuchumi kuanzia usafirishaji , kilimo,biashara na Huduma, n.k katika taifa letu.

Mabadiliko haya ni matokeo ya mabadiliko mengine katika mifumo ya kisiasa na utawala,Sayansi na Teknolojia, Tamaduni , Hali ya hewa na Tabia ya nchi na mengine mengi.

Kwa kuzingatia muktadha huu wakuu, naomba tufahamishane fursa mbali mbali za biashara zinazokua kwa kasi sasa hivi katika uchumi wa Tanzania,

Na tusiishie hapo tu bali pia tutoe utabiri kulingana na mabadiliko ya ya mifumo ya kisiasa,sayansi na teknolojia kama nilivoainisha hapo mwanzo, ni sector zipi katika uchumi wetu zinaonyesha dalili ya kuja kutoa fursa adhimu za uwekezaji na biashara takriban miaka 8 mpka kumi ijayo.

Karibuni tujadili wakuu.
biashara ya kuuza vipuri vya pikipiki, motorcycle spare parts
 
Kuuza juisi...
Naona hiki kitu sikuizi kinakuja kwa kasi, kila mtu mahali hapa alipo naona anafanya vipi hapo ulipo pana brand ngap za juisi?
 
Biashara ya kina dada pouwa hii biashara inakuwa kwa kasi nakushamili karibia tanzania nzima mijini na vijijini ukienda ukiitaji hii huduma unaipata.
So unamwambia akauze K mkuu kuweni serious mkuu.
 
Idadi ya watu inakwenda kuongezeka maradufu by the year 2030 !

Hivyo kwa Afrika, fanya yafuatayo:

1. Jenga Hospitali.

2. Brand Buiding & Marketing. - Hapa utajielekeza pia kwenye Manufacturing kwa baadaye

3. Kilimo ( Hapa unaweza kuunganisha na Export ) !

4. Teknolojia + Retailing ( Trend Products )

N.B Hakikisha unakuwa very updated na teknolojia na mifumo ya kisasa ya kibiashara. Utafanikiwa !
Cc John January Cc John January
 
Back
Top Bottom