alongakeke
Member
- Feb 3, 2017
- 98
- 30
Salaam Wakuu,
Kadri siku zinavoenda kunatokea mabadiliko kadha wa kadha katika sector mbali mbali za kiuchumi kuanzia usafirishaji , kilimo,biashara na Huduma, n.k katika taifa letu.
Mabadiliko haya ni matokeo ya mabadiliko mengine katika mifumo ya kisiasa na utawala,Sayansi na Teknolojia, Tamaduni , Hali ya hewa na Tabia ya nchi na mengine mengi.
Kwa kuzingatia muktadha huu wakuu, naomba tufahamishane fursa mbali mbali za biashara zinazokua kwa kasi sasa hivi katika uchumi wa Tanzania,
Na tusiishie hapo tu bali pia tutoe utabiri kulingana na mabadiliko ya ya mifumo ya kisiasa,sayansi na teknolojia kama nilivoainisha hapo mwanzo, ni sector zipi katika uchumi wetu zinaonyesha dalili ya kuja kutoa fursa adhimu za uwekezaji na biashara takriban miaka 8 mpka kumi ijayo.
Karibuni tujadili wakuu.