John_Anthony
JF-Expert Member
- Mar 27, 2024
- 290
- 460
Wakubwa ni habari za wakati huu...
Naombeni ufafanuzi wa biashara au fursa za biashara zilizopo maeneo ya mipakani mwenye utaaramu au amewahi kufanya biashara yoyote maeneo ya mipakani tafadhali tuelimishane kama kuna tahadhari zozote au kuna points muhimu za kuzifahamu naomba tufamishane.
Mimi binafsi napenda sana kufanya biashara ya bidhaa ambayo sikai nayo kwa muda mrefu yani napenda kufaulisha bidhaa maeneo ya mipakani lakini nashindwa namna ya kutengeneza mtandao mzuri kwa kifupi nashindwa sehemu ya kuanzia, nimefanya kazi kama kibarua ndipo nilipo pata A.B.C.. lakini sasa natamani nifanye biashara yangu lakini huko mipakani, aliyenielewa vyema naomba anisaidie tafadhali 🙏