Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Jinsi ya kusafirisha Karanga kutoka Mkoa wa Mbeya tumia posta wao tani moja ni Tsh 70,000 mpaka Dodoma kutoka pale kwenda Arusha ni pua na mdomo magari mengi mwanzo ilikua mpaka Arusha ni bei hiyo hiyo ila wamefuta safari ya kupeleka mizigo Mbeya mpaka Arusha...hiyo kazi ukiifanya kwa muda mrefu utapata kitu ukiweza unaweza kwenda kuuzia hapo hapo Arusha maeneo ya maduka ya Ndovu ukiwa na kiasi kidogo...faida utaipata kwenye kukimbia kwako sasa hivi zipo bus za usiku unauza mchana usiku safari kwenda Mbeya Ileje huko...