John_Anthony
JF-Expert Member
- Mar 27, 2024
- 290
- 460
- Thread starter
- #41
Una mtaji kiasi gani ili tujue tukushauri vipi hiyo biashara unayopenda ya mazao??
Mtaji wangu ni 1.3M
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una mtaji kiasi gani ili tujue tukushauri vipi hiyo biashara unayopenda ya mazao??
Daah unaambiwa peleka Arusha au Nairobi unazungumzia Dodoma hautaki hela wewe au hauna njaa ya hela Mkuu..mwenye njaa ya pesa akiambiwa kazi vifungo vya shati anafungia kwenye Bus vizuri la Mbeya vizuri na ukifanya uje na mrejesho hapa..Nashukuru mkuu soon nitaanza process kwa huu mwangaza wako kuna mzee mmoja yeye alikuwa anazipeleka pale Dodoma cjui kama soko lake ni zuri,,
Ukiishi mipakani utajifunza kitu ipo hivi kama sasa hivi Zambia wana ukame mahindi yatatoka huku kwenda Zambia na kipindi mahindi yakiwa hapa bei kubwa mahindi yatatoka Zambia na kuja kuuzwa kwenye mikoa ya mipakani huu ni mzunguko wa kawaida tu..Tanzania mazao ni mengi hauwezi kutoa Zambia ukayaleta Tanzania
Daah unaambiwa peleka Arusha au Nairobi unazungumzia Dodoma hautaki hela wewe au hauna njaa ya hela Mkuu..mwenye njaa ya pesa akiambiwa kazi vifungo vya shati anafungia kwenye Bus vizuri la Mbeya vizuri na ukifanya uje na mrejesho hapa..
Lini mara ya mwisho mahindi yalitoka Zambia yakaingia Tanzania?Ukiishi mipakani utajifunza kitu ipo hivi kama sasa hivi Zambia wana ukame mahindi yatatoka huku kwenda Zambia na kipindi mahindi yakiwa hapa bei kubwa mahindi yatatoka Zambia na kuja kuuzwa kwenye mikoa ya mipakani huu ni mzunguko wa kawaida tu..
Lini mara ya mwisho mahindi yalitoka Zambia yakaingia Tanzania?
Kulikuwa na tofauti ya bei gani na mahindi ya Tanzania?Last two yrs
Sio lini mahindi mapana yanatoka Zambia na ndio yanauzwa Nairobi mimi kipindi cha Corona nishapakia mahindi ya wafanyabiashara wakitoa Chinsali /Zambia na kupeleka transit Nairobi kwa kupitia mpaka wa Holili..Lini mara ya mwisho mahindi yalitoka Zambia yakaingia Tanzania?
Kumbe yalivuka Tanzania na kwenda KenyaSio lini mahindi mapana yanatoka Zambia na ndio yanauzwa Nairobi mimi kipindi cha Corona nishapakia mahindi ya wafanyabiashara wakitoa Chinsali /Zambia na kupeleka transit Nairobi kwa kupitia mpaka wa Holili..
Unachobisha ni nini mazee nenda hapo Isongole uone Truck za Tanzania zikitoa mahindi Malawi pamoja na Karanga mwezi uliopita Malawi wamepiga marufuku uuzaji wa Maharage kuyatoa nje...Kasungu,Malawi pana soko kubwa la Mazao yanayokuja Tanzania sisi wengine tumezurula sana aisee...Kumbe yalivuka Tanzania na kwenda Kenya
Mipakani ukiwa na pesa ukapata machimbo ya biashara kunalipa sana lo
Una maneno mengi sana. Hoja yangu ilikuwa mahindi ya Zambia kuuzwa kwa watumiaji wa Tanzania wakati watu wana mahindi yamejaa kwenye stooUnachobisha ni nini mazee nenda hapo Isongole uone Truck za Tanzania zikitoa mahindi Malawi pamoja na Karanga mwezi uliopita Malawi wamepiga marufuku uuzaji wa Maharage kuyatoa nje...Kasungu,Malawi pana soko kubwa la Mazao yanayokuja Tanzania sisi wengine tumezurula sana aisee...
Pia katavi pako vzr kama anataka ku deal na karangaNenda Isongole ipo ileje pale wanauza mazao mengi kutoka Malawi na hasa mnada wao upo Ijumaa kama ntakua sijasahau unaweza kuchukua Karanga pale na kwenda kuuza mpakani na Kenya wowote watanunua ukiweza unapeleka Nairobi na pia hapo Isongole nyuma kidogo panaitwa Ikumbilo nadhani pana Njia ya kwenda Malawi ukivuka kule wanauza hizo karanga kwa bei ya kutupa hasa hiki kipindi cha msimu sasa hivi kule hakuna sana mahindi maana mvua hawajapata kama Tanzania kwa hiyo unaweza kutoa maharage na Karanga na bei ya karanga Arusha kuelekea Nairobi ipo juu sana sema inatakiwa uzijue karanga zenyewe hasa zile nyekundu kubwa na ziwe safi naamini ukifanya kwa muda fulani utapata uzoefu ila usinunulie Karanga mbozi huko nenda Ileje...
Katavi ni ukanda mzuri wa upatikanaji wa mazao ya kuuza...Pia katavi pako vzr kama anataka ku deal na karanga
Uliuza kwa sababu ya rate biashara ya Malawi na Tanzania inategemeana na Exchange rate pia kama chenji wenyewe wanavyosema ikiwa sio nzuri huwezi kwenda kuuza biadhaa iwe Malawi au Zambia...sasa hivi hela ya Malawi ipo juu ukipeleka bidhaa kwa chenji iliyopo utapata kitu mwaka juzi iliwahi kufika 1.4 Malawian Kwatcha kwa 1 Tsh shilings...Una maneno mengi sana. Hoja yangu ilikuwa mahindi ya Zambia kuuzwa kwa watumiaji wa Tanzania wakati watu wana mahindi yamejaa kwenye stoo
Mimi kama kutembea hizo nchi zotenimetembea sijaishia tu border hadi interior nazifahamu sana
Mwaka jana Desemba na mwaka huu January nimeuza sana mahindi Malawi nafahamu A-Z hali ya Malawi
brother wangu alikuwa anatoa soya na karanga nyekundu na ulezi kutoka malawi kuja TanzaniaKumbe yalivuka Tanzania na kwenda Kenya
Kwa Malawi nakubaliana nawe nilishafanya trans hizo mambobrother wangu alikuwa anatoa soya na karanga nyekundu na ulezi kutoka malawi kuja Tanzania