Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Nenda Isongole ipo ileje pale wanauza mazao mengi kutoka Malawi na hasa mnada wao upo Ijumaa kama ntakua sijasahau unaweza kuchukua Karanga pale na kwenda kuuza mpakani na Kenya wowote watanunua ukiweza unapeleka Nairobi na pia hapo Isongole nyuma kidogo panaitwa Ikumbilo nadhani pana Njia ya kwenda Malawi ukivuka kule wanauza hizo karanga kwa bei ya kutupa hasa hiki kipindi cha msimu sasa hivi kule hakuna sana mahindi maana mvua hawajapata kama Tanzania kwa hiyo unaweza kutoa maharage na Karanga na bei ya karanga Arusha kuelekea Nairobi ipo juu sana sema inatakiwa uzijue karanga zenyewe hasa zile nyekundu kubwa na ziwe safi naamini ukifanya kwa muda fulani utapata uzoefu ila usinunulie Karanga mbozi huko nenda Ileje...
Usifanye biashara haramu mpakani TRA wakikukamata utadhani umerogwa kumbe wewe mwenyewe ulikua na tamaa na ulikua hauna code zao ukiwa na hela kidogo lipa vitu vyote vya Serikali hela utapata kidogo kidogo kuliko ukikutana na TRA harafu hela yenyewe ndio hiyo hiyo wahuni wanaichukua wanakulipisha fine kubwa unarudi kijijini kusimulia mambo ya mjini...Nashukuru sana mkuu ubarikiwe sana
Jinsi ya kusafirisha Karanga kutoka Mkoa wa Mbeya tumia posta wao tani moja ni Tsh 70,000 mpaka Dodoma kutoka pale kwenda Arusha ni pua na mdomo magari mengi mwanzo ilikua mpaka Arusha ni bei hiyo hiyo ila wamefuta safari ya kupeleka mizigo Mbeya mpaka Arusha...hiyo kazi ukiifanya kwa muda mrefu utapata kitu ukiweza unaweza kwenda kuuzia hapo hapo Arusha maeneo ya maduka ya Ndovu ukiwa na kiasi kidogo...faida utaipata kwenye kukimbia kwako sasa hivi zipo bus za usiku unauza mchana usiku safari kwenda Mbeya Ileje huko...
Daktari shida ya hapa utoe code udakwe ndugu? Japo pia hazitolewi maana wengi ni wazuri mdomoni kusikiliza ila hawaingii infront kuzipambania fursa.Ngoja waje ila, tatizo la wabongo code halisi za kupiga pesa hawawezi kukupa.
Tanzania mazao ni mengi hauwezi kutoa Zambia ukayaleta TanzaniaKuchukua zambia na kuwasambazia wauzaji ndani ya nchi au kutoa nchini kuwapeleka nje
Hautasumbuka hapo Uyole, Mbeya wapo pia wasafirishaji wa Fusso ila uweke alama vizuri za mzigo wako na Mafiati hapo unachukua tani moja ambayo ni 1000 Kg kule wanauza kwa debe utapima utajua ununue kiasi gani Karanga Nyekundu kwa kaskazini ni kama madawa yao ya kulevya hata bei tofauti ni kubwa sana nakwambia kitu nilichokifanya sio kwamba nimehadithiwa...jinsi ya kuuza unaenda madukani moja kwa moja sio kwa madarali unawapa bei wanakwambia uwape Kg ngapi ila usimkopeshe mtu uza mali yako kwa kulipana na kuacha Mali sio uanze kuwadai na huku ni mgeni itakua tatizo kama haujapata mteja sahihi..Kuhusu usafirishaji hapa kweli ni changamoto sana najaribu kutafuta njia nzuri inayo punguza costs lkn hii njia ya posta naona iko vizuri
Ukienda ile barabara ya Sumbawanga humo njiani kuna vijiji kama Momba unaweza kwenda kujumua mazao mpunga, mahindi, maharage n.k ukaenda ukauza Tunduma, ukayasafirisha maeneo mengine kama Dar au ukayavusha bodaMipakani nimefanya kazi za vibarua kama kuli lkn pia nilikuwa napewa kazi za kusimamia ufaulishaji wa mizigo kwenye hii sector ya mazao,, sasa mm nataka nifanye biashara hiyo hiyo ya mazao
Boda ya mipango hiyoWakubwa ni habari za wakati huu...
Naombeni ufafanuzi wa biashara au fursa za biashara zilizopo maeneo ya mipakani mwenye utaaramu au amewahi kufanya biashara yoyote maeneo ya mipakani tafadhali tuelimishane kama kuna tahadhari zozote au kuna points muhimu za kuzifahamu naomba tufamishane.
Mimi binafsi napenda sana kufanya biashara ya bidhaa ambayo sikai nayo kwa muda mrefu yani napenda kufaulisha bidhaa maeneo ya mipakani lakini nashindwa namna ya kutengeneza mtandao mzuri kwa kifupi nashindwa sehemu ya kuanzia, nimefanya kazi kama kibarua ndipo nilipo pata A.B.C.. lakini sasa natamani nifanye biashara yangu lakini huko mipakani, aliyenielewa vyema naomba anisaidie tafadhali [emoji120]
Daktari shida ya hapa utoe code udakwe ndugu? Japo pia hazitolewi maana wengi ni wazuri mdomoni kusikiliza ila hawaingii infront kuzipambania fursa.
Ukienda ile barabara ya Sumbawanga humo njiani kuna vijiji kama Momba unaweza kwenda kujumua mazao mpunga, mahindi, maharage n.k ukaenda ukauza Tunduma, ukayasafirisha maeneo mengine kama Dar au ukayavusha boda
Mwezi wa Januari mwaka huu Malawi walikuwa wana uhitaji mkubwa sana wa chakula hasa mahindi. Jaribu kucheki kama bado soko lipo
Ukienda ile barabara ya Sumbawanga humo njiani kuna vijiji kama Momba unaweza kwenda kujumua mazao mpunga, mahindi, maharage n.k ukaenda ukauza Tunduma, ukayasafirisha maeneo mengine kama Dar au ukayavusha boda
Mwezi wa Januari mwaka huu Malawi walikuwa wana uhitaji mkubwa sana wa chakula hasa mahindi. Jaribu kucheki kama bado soko lipo
Biashara gani unataka kufanya? N
Hautasumbuka hapo Uyole, Mbeya wapo pia wasafirishaji wa Fusso ila uweke alama vizuri za mzigo wako na Mafiati hapo unachukua tani moja ambayo ni 1000 Kg kule wanauza kwa debe utapima utajua ununue kiasi gani Karanga Nyekundu kwa kaskazini ni kama madawa yao ya kulevya hata bei tofauti ni kubwa sana nakwambia kitu nilichokifanya sio kwamba nimehadithiwa...jinsi ya kuuza unaenda madukani moja kwa moja sio kwa madarali unawapa bei wanakwambia uwape Kg ngapi ila usimkopeshe mtu uza mali yako kwa kulipana na kuacha Mali sio uanze kuwadai na huku ni mgeni itakua tatizo kama haujapata mteja sahihi..
Naweza kukupa mchongo mzuuri Kama utakuwa mkweli na mwaminifu
Tanzania mazao ni mengi hauwezi kutoa Zambia ukayaleta Tanzania