Bibi aliyetunza bikra yake kwa miaka 123

Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 123, Theresia Nyirakajumba, kutoka Nchini Rwanda, amesema toka azaliwe hajawahi kuguswa na mwanaume yeyote, na sasa yupo na tumaini kuwa atampata mwanaume sahihi na ambaye atakuwa tayari kuwa naye maishani.

Ni kweli kuwa kwa sasa wanawake wenye bikra wanahesabika? Kwanini?

Upwiru wa miaka 123 sio mchezo,au ndo kusema ana disorder flan!!🤔 maana kuna wale watu ambao hawako attracted to any sex yan wanaishi tu,Unakuta mtu ana mwaka kabisa hajaonja kitu.

Wale wazee ninawaomba mtafute maconnection huyu bibi mumtoe huo ubikra haraka iwezekanavyo.View attachment 2646658

#eastafrica Radio
Chanda chema huvikwa pete👏
 
Hakuna binadamu amewahi fikisha miaka 125 kwa uhakika. Tatizo la Waafrica hawajui umri wao hasa wazee
 
She must be abnormal at some circumstances, huyo lazima atakuwa Ana kasoro fulani kwenye mwili wake ambazo hataki kuzielezea na ndo zimemfanya awe hivyo mpaka leo hii.

Btw, tutajuaje Kama kweli Ni bikra???
Nenda kajaribu kumpelekea moto tuone kama ni bikra au la
 
Imesaidia nini huyo bibi kutunza bikra yake miaka yote hiyo?
Imemsaidia kuepuka zinaa ambayo ni chukizo kwa Mungu. Hekalu lake liko safi kabisa bwana Yesu anaweza akakaa ndani yake!
 
Back
Top Bottom