Bibi ameiona Christmas na chupa ya Remmy Martin kutoka kwa mjukuu wake anaeishi Ulaya

hiyo ni Zawadi usiwe na mawazo ya Tandale kwa mtoghole ya kuwa angemjengea nyumba kwanza
NYUMBA yako ya MILELE ni kaburi
wakati upo HAI furahia vya dunia na vilivyomo
Hayo ni mawazo yako wala siyo yangu. Nani kasema huyo bb anaishi anaishi porini? Hoja yangu ni ya kiafya zaidi maana hicho kinywaji kina percent kubwa ya alcohol the lowest ni 40 perc. Sasa inafikiri maini ya bibi yatakuwa kwenye hali gn?
 
kilevi kinaondoa UJINGA ndio mana bibi hapo yuko timamu
kunywa POMBE mkuu uwe na AKILI nyingi
 
Hayo ni mawazo yako wala siyo yangu. Nani kasema huyo bb anaishi anaishi porini? Hoja yangu ni ya kiafya zaidi maana hicho kinywaji kina percent kubwa ya alcohol the lowest ni 40 perc. Sasa inafikiri maini ya bibi yatakuwa kwenye hali gn?
Sasa huyu bibi ana 80+ hata hayo maini mpaka yaoze labda anywe Remmy Martin kwa siku 10 mfululizo jambo amabalo haliwezekani.
 
Hayo ni mawazo yako wala siyo yangu. Nani kasema huyo bb anaishi anaishi porini? Hoja yangu ni ya kiafya zaidi maana hicho kinywaji kina percent kubwa ya alcohol the lowest ni 40 perc. Sasa inafikiri maini ya bibi yatakuwa kwenye hali gn?
Watakwambia sasa unataka huyo bibi maini yake yawe mazima kwani anamringishia nani wakati umri umeshamtupa mkono [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Hayo ni mawazo yako wala siyo yangu. Nani kasema huyo bb anaishi anaishi porini? Hoja yangu ni ya kiafya zaidi maana hicho kinywaji kina percent kubwa ya alcohol the lowest ni 40 perc. Sasa inafikiri maini ya bibi yatakuwa kwenye hali gn?
Kwani amebakiza nini huyo bibi?au walikwambia akifa wanaenda kukagiliwa main? Ni wivu
 
Remmy Martin bonge moja la Champagne. Niliileta ndani hapa jamaa yangu mbobezi wa K Vant akaifakamia kilichomkuta huwa hataki hata kuiona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…