Bibi atamani mtoto na kijana wa miaka 24

lwambof07

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Posts
4,643
Reaction score
5,335
Bibi Cheryl McGregor mwenye miaka 61, watoto 7 na wajukuu 17 anapanga kupata mtoto mwingine kwa njia mbadala ya kupandikiza (surrogacy pregnacy) na mume wake Quran McCain mwenye miaka 24.

Wawili hao wanasema wamejaribu kutafuta mtoto kwa njia ya kawaida hawajafanikiwa hivyo wanaangalia mwanamke atakayekuwa tayari kufanya hivyo waingie mkataba kwenye suala hilo.

Pia wanasema familia yao inawasapoti kwa kiasi kikubwa katika uamuzi wao huo wa kutaka kuwa na mtoto.

Chery na Quran walikutana mwaka 2012 wakati wanafanyakazi pamoja na wamepishana miaka 37.

 
Kwamba huyo Quran alikuwa anafanya kazi mwaka 2012 akiwa na miaka 15?
 
Kama kawaida waafrika kwa kudanganya umri [emoji3][emoji3].

Zee la miaka 49 anajipunguzia hadi 24.
 
Hii story ni chai, ktk picha hapo huyo wa kiume ni daktari kule marekani pamoja na mchumba wake (ambae kwa sasa ni marehem) alifariki akiwa ktk honeymoon... Huyo bibi alikua milionea haswa and of course age difference yao ni zaidi ya miaka 30
 
Kufanya Kazi au kula maisha? Akili Za watu wengine bwana!
Yote yote mzee utakulaje maisha kama huna hela hata za urithi mzee labda ukubal kuolewa [emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…