Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bibi Cheryl McGregor mwenye miaka 61, watoto 7 na wajukuu 17 anapanga kupata mtoto mwingine kwa njia mbadala ya kupandikiza (surrogacy pregnacy) na mume wake Quran McCain mwenye miaka 24.
Wawili hao wanasema wamejaribu kutafuta mtoto kwa njia ya kawaida hawajafanikiwa hivyo wanaangalia mwanamke atakayekuwa tayari kufanya hivyo waingie mkataba kwenye suala hilo.
Pia wanasema familia yao inawasapoti kwa kiasi kikubwa katika uamuzi wao huo wa kutaka kuwa na mtoto.
Chery na Quran walikutana mwaka 2012 wakati wanafanyakazi pamoja na wamepishana miaka 37.
Hii story ni chai, ktk picha hapo huyo wa kiume ni daktari kule marekani pamoja na mchumba wake (ambae kwa sasa ni marehem) alifariki akiwa ktk honeymoon... Huyo bibi alikua milionea haswa and of course age difference yao ni zaidi ya miaka 30
Maiti nao wanazaa? Kwa hukupata kusoma kuwa huyo bibi alifariki wakati wa honeymoon?
umeeleza ukweli mtupu, watu wanachukua picha wanaanza kutungia story...very sadHii story ni chai, ktk picha hapo huyo wa kiume ni daktari kule marekani pamoja na mchumba wake (ambae kwa sasa ni marehem) alifariki akiwa ktk honeymoon... Huyo bibi alikua milionea haswa and of course age difference yao ni zaidi ya miaka 30