Bibi atamani mtoto na kijana wa miaka 24

Maiti nao wanazaa? Kwa hukupata kusoma kuwa huyo bibi alifariki wakati wa honeymoon?
 
Ka bibi bado kana mwili wa kitafunwa kabisa na kana 61miaka.Huku wana miaka 21 ila huo mtumbo wake mbombo ngafu.
 
Kweli wanasema mkioana mnafanana..mwamba nae kashaanza kuonekana kama mstaafu while ni 20's
 
Hii story ni chai, ktk picha hapo huyo wa kiume ni daktari kule marekani pamoja na mchumba wake (ambae kwa sasa ni marehem) alifariki akiwa ktk honeymoon... Huyo bibi alikua milionea haswa and of course age difference yao ni zaidi ya miaka 30

Wee hao wanajirekodi kila mara tiktok
 
Hii story ni chai, ktk picha hapo huyo wa kiume ni daktari kule marekani pamoja na mchumba wake (ambae kwa sasa ni marehem) alifariki akiwa ktk honeymoon... Huyo bibi alikua milionea haswa and of course age difference yao ni zaidi ya miaka 30
umeeleza ukweli mtupu, watu wanachukua picha wanaanza kutungia story...very sad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…