Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,265
Ya kweli kweliI hope mtoto atakuwa ni wa ndoa!
<br />
<br />
Saa zingine tunayataka wenyewe......kukamata ujauzito kabla ya ndoa na mtu huyo huyo utashangaa eti atafanyiwa kicheni pati na send-off na bridal shower prior the big wedding in a white gown.....damn!! tumepoteeza kabisa maadili.
Zaa kwanza then ubariki hiyo ndoa wala sio kufunga tena maana mpaka mmeshapata mtoto ni zaidi ya uchumba