Bibi harusi ajifungua kanisani

Bibi harusi ajifungua kanisani

Shetani kajificha kwenye vizazi, wadada tuombe mungu ili mnafunga ndoa na ijibu kabla hujawa na msongo wa mawazo.
 
ndoa kama ilifungwa tayari mtoto ni wa ndoa
 
Naijua hii harusi ndoa ilikua imeshafungwa na wameshavalishana pete,yes mtoto ni pre-mature but hilo la ndafu chumvi imeongezwa.na ilikua las two weeks sio juzi.
 
Siku hizi mimba ndio mtego wa ndoa. Wanaume wengine wanajua kudo na kula kona, ukizungumzia ndoa eti muda bado, wadada wameamua kutega na mimba.
 
mzinifu mwanaume na mzinifu mwanamke wachapeni viboko 100 mbele ya hadhara. Na kama watakuwa wemeoa au kuolewa basi wappigeni mawe mpaka wafe na wala msiwaonee huruma katika kutekeleza jambo hili.
 
<br />
<br />

Saa zingine tunayataka wenyewe......kukamata ujauzito kabla ya ndoa na mtu huyo huyo utashangaa eti atafanyiwa kicheni pati na send-off na bridal shower prior the big wedding in a white gown.....damn!! tumepoteeza kabisa maadili.

Zaa kwanza then ubariki hiyo ndoa wala sio kufunga tena maana mpaka mmeshapata mtoto ni zaidi ya uchumba

Halafu utasikia wanafanya fungate... (honeymoon)
 
Back
Top Bottom