Bibi harusi atoroka saloon na kwenda kumuaga mpenziwe wa zamani kwa mahaba

Bibi harusi atoroka saloon na kwenda kumuaga mpenziwe wa zamani kwa mahaba

..hapa hakuna cha kuoa wala kufikiri mara 2,mpaka kesho hatapata tokea mwanamke mwenye AKILI za kutosha,wote madudu tu sema ndo vile hawajapewa nafasi za kuonesha ujinga wao,afu na nyie watoa habari mmezidi si mngeacha apewe dudu then arudi akafunge ndoa?..ona sasa bwana harusi haamini kama kuna jamaa lilikuwa linapapasa map..a ya bibie,narudia tena apigwe chini vinginevyo jamaa atakufa kabla ya cku zake..
 
@AshaDii
yani upo sahihi kabisa ila nkuhakikishie tu hi nikweli imetokea,
hayo maswali ulouliza ndo nasi twajiuliza pia mpaka tunahisi kuchanganyikiwa kua ujasiri huo bi.harusi katoa wapi wa kufanya yote hayo na vazi hilo, ndomana unahitajika msaada wa jf great thinkers dia.

Pilu ngoja baas nijifanye nimeamini...... Haya basi naomba nijibu hili.... Ina maana Bwana harusi akishauri kumuoa huyo mwanamke yupo tayari kuoa? Mie assumption zangu ni hizi tokana na majibu atatoa..... (take note, naweza kua wrong, hayo ni mawazo yangu)

Kama yupo tayari kumuoa:

  1. Ni mwanaume tegemezi... Yaani mwanadada ana pesa kuliko mwanaume na she is ready to provide. Na sababu jamaa aidha ni mvivu ama tu maisha yamempiga anaona bora tu aoe ili awe guranteed uraisi wa maisha.
  2. Kapenda huyo mwanamke mpaka hajielewi kabisa!
  3. Ni mgeni anahitaji uraia kupitia ndoa.
  4. Sio rijali.... Labda hio ndoa itakua ni picha tu, na wanamakubaliano mdada aweza toka nje once married....

Kama hayupo tayari kuoa....

Hapa kwa kweli ni wazi kua ni vigumu kutaka oa mwanamke alokuadhirisha hivo mpaka jamii yooote ikajua.

Sasa Baaad Pilu naomba tueleweshe....
 
****** will be ******.......inauma lakini aachane naye.hafai mpaka aanashindwa respect siku yake ya ndoa?
 
Hadithi nyingi huwa fictitious isipokuwa wanaposema 'based on true story'!

Hao great thinkers wamesha-doubt story yako sasa nini kilichobaki?
 
si rahisi akaenda na gauni la harusi na ji-shela lake
si rahisi kwenda akiwa keshapambwa
kawaida saluni haendi peke yake,alitorokaje?
Alimaliza kupambwa saa ngapi?
Alifika gesti muda gani?

Kwa ufupi unatuuzia chai juani!
 
Tulipo muuliza mdada wa saluni yani nkimaanisha yule fundi mwenyewe akatuambia kua B. harusi aliomba akajisaidie baati mbaya hio saluni haikua na toilets so alielekea gest ambayo haiko mbali na saluni ili kujisaidia toilets katika toilets za gest na kumbe ndo ivo yaonyesha kama walishapanga mchezo na huyo mpenziwe wa zamani kukutana huko .
 
****** will be ******.......inauma lakini aachane naye.hafai mpaka aanashindwa respect siku yake ya ndoa?

hata mimi kwakweli nlikua na mtazamo huo wa kumwambia amwache tu ingawa sija mshauri bado kwa sababu nimeshindwa kuuelewa kwanza mwelekeo wake mume coz alikua anampenda mno mkewe mtarajiwa,
ndomana ikawa ni busara kupata michango yenu yakiushauri ili isaidie.
 
too fictional hii....
hebu sema harusi ilikuwa ifungwe kanisa lipi?
na mchungaji yupi?
ukumbi upi mmekodi kwa sherehe???????

Yaah kweli hii itakuwa ya kutunga kwa maelezo ya jamaa kasema kwamba bibi harusi alishapambwa ndiyo akatorola saloon akaenda guest sasa ina maana ndoa haikufungwa siku hiyo pia anatuambia bwana harusi anahitaji msaada wa mawazo kwakuwa anakosa maamuzi na maandalizi ya ndoa yako tayari.
Ndoa ipi sasa wakati haikufungwa na lazima kama haikufungwa lazima itolewe sababu kwa watu ambao wangeuzulia hiyo harusi sasa atwambie waliwapa sababu gani
 
kwakweli ni bora gharama zilizotumika zipotee kuliko kuoa kahaba mzoefu
 
Hadithi nyingi huwa fictitious isipokuwa wanaposema 'based on true story'!

Hao great thinkers wamesha-doubt story yako sasa nini kilichobaki?

I wish you could understand how serious it is, tafadhali jaman hilo ndo limetokea na hali ni mbaya kwani mme kwa sasa amekaa kimnya tu yani kapigwa na butwaa na mkee yupo nyumbani kwa dada yake analia tu hajielewi na anaomba kusamehewa .
 
binafsi nimeishtukia,ngumu sana kuamini

kipi haswa ndo kigumu kuamini?
We wadhani kwa sasa hili haliwezi kutokea?
Naona hali ilomkuta bwana harusi ndo imekupata na wewe.
 
Tulipo muuliza mdada wa saluni yani nkimaanisha yule fundi mwenyewe akatuambia kua B. harusi aliomba akajisaidie baati mbaya hio saluni haikua na toilets so alielekea gest ambayo haiko mbali na saluni ili kujisaidia toilets katika toilets za gest na kumbe ndo ivo yaonyesha kama walishapanga mchezo na huyo mpenziwe wa zamani kukutana huko .

We mtaalam wa kupika information nakupa big up
 
We mtaalam wa kupika information nakupa big up

hapana jamani habar ni ya kweli, nakushauri usingoje mpaka yakukute wewe au ndugu yako ndo uamini, binadamu wana mengi,human bebaviour is very complex si rahisi kuijua.
 
Back
Top Bottom