too fictional hii....
hebu sema harusi ilikuwa ifungwe kanisa lipi?
na mchungaji yupi?
ukumbi upi mmekodi kwa sherehe???????
@AshaDii
yani upo sahihi kabisa ila nkuhakikishie tu hi nikweli imetokea,
hayo maswali ulouliza ndo nasi twajiuliza pia mpaka tunahisi kuchanganyikiwa kua ujasiri huo bi.harusi katoa wapi wa kufanya yote hayo na vazi hilo, ndomana unahitajika msaada wa jf great thinkers dia.
yanahitajika maamuzi ya haraka na bwana harusi yuko katika hali ya mshtuko,mchango wako tafadhali.
sasa tunamshauri bi harusi ama bwana harusi?
unahitaji kumuuliza bwana harusi nae kama aliaga leo ama jana?
si rahisi akaenda na gauni la harusi na ji-shela lake
si rahisi kwenda akiwa keshapambwa
kawaida saluni haendi peke yake,alitorokaje?
Alimaliza kupambwa saa ngapi?
Alifika gesti muda gani?
Kwa ufupi unatuuzia chai juani!
Mchango wangu natoa laki mbili
Nipe namba ya Mpesa
Tumshauri nini sasa?
Kama anataka kunyoa anyoe na kama anataka kusuka asuke.
****** will be ******.......inauma lakini aachane naye.hafai mpaka aanashindwa respect siku yake ya ndoa?
too fictional hii....
hebu sema harusi ilikuwa ifungwe kanisa lipi?
na mchungaji yupi?
ukumbi upi mmekodi kwa sherehe???????
Hadithi nyingi huwa fictitious isipokuwa wanaposema 'based on true story'!
Hao great thinkers wamesha-doubt story yako sasa nini kilichobaki?
binafsi nimeishtukia,ngumu sana kuamini
Tulipo muuliza mdada wa saluni yani nkimaanisha yule fundi mwenyewe akatuambia kua B. harusi aliomba akajisaidie baati mbaya hio saluni haikua na toilets so alielekea gest ambayo haiko mbali na saluni ili kujisaidia toilets katika toilets za gest na kumbe ndo ivo yaonyesha kama walishapanga mchezo na huyo mpenziwe wa zamani kukutana huko .
Ngoja nakuja kukujibu
We mtaalam wa kupika information nakupa big up