Bibi harusi mtarajiwa, mama yake wafa ajalini wakielekea Kilimanjaro kwenye maandilizi ya harusi yake

😥😥😥😥😥
 
Udereva wa kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine sio kama town trip. Pole kwa wanafamilia kwa msiba mzito sana Mungu awape faraja wafiwa na marehemu wapumzike kwa amani.
Hata hivyo bora yeye alijaribu kuvuka mkoa mimi mimi trip za town tu nikizidisha huwa nachoka hata kuongea na mtu nakuwa sitaki.




MAGUFULI4LIFE.
 
Roho za marehemu zipumzike mahali pema peponi, Amen!
 
Ni kweli ajali ilitokea na tunawaombea kwa Mungu awapumzishe mahali pema, pole pia kwa wana familia, ndugu na jamaa.
Je, kwa bibi harusi mtarajiwa, amani ilikuwepo kati yake na ma-ex ilikuwepo au alitoka kupiga tukio kijana wa watu?
 
Ingekuwa nchi za wanaojielewa, hilo shimo barabarani lingeinyoosha serikali. Kwa Tz matatizo, kadhia ndio maisha ya WaTz na yanapelekea mauti yao, na tumekubaliana nayo!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
kweli unaweza ukakuta kuna ma ex wengi tu alikuwa hapatani nao,na mtu uliyemkosea huwaga haui mhusika ,yaan anaua wengine ili tu ikuume 😢but R.I.P kwa familia.
Ni kweli ajali ilitokea na tunawaombea kwa Mungu awapumzishe mahali pema, pole pia kwa wana familia, ndugu na jamaa.
Je, kwa bibi harusi mtarajiwa, amani ilikuwepo kati yake na ma-ex ilikuwepo au alitoka kupiga tukio kijana wa watu?
wel
 
Wachaga unawajua wewe?

Wanajionaga na wao ni wanaume kamili!
 
Salamu za pole kwa wanafamilia...

Wito:
Madereva wasio wazoefu wa safari ndefu za mkoa hadi mkoa si vyema kusafiri kwa kuendesha gari mwenyewe...

Hizi safari ndefu huwa zinahitaji umakini sana na muda wote akili inapiga kila aina ya hesabu uwapo barabarani kuepukana na majanga...

Kudance na mashimo barabarani kama sio mzoefu unaweza hata ukapindua gari au ukachochora...
 
Pole sana kwa familia na wafiwa wote! Kwa kweli inasikitisha, ila ndiyo maisha.

Hii risk ya kutumia gari 1 familia nzima, sasa inafikirisha sana kwa kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…