Bibi harusi mtarajiwa, mama yake wafa ajalini wakielekea Kilimanjaro kwenye maandilizi ya harusi yake

Bibi harusi mtarajiwa, mama yake wafa ajalini wakielekea Kilimanjaro kwenye maandilizi ya harusi yake

Aisee wapumzike kwa amani, usafiri binafsi kwa kwenda mkoa mmoja mpaka mwingine ni hatari, na tena mkiwa familia,, hamna uzoefu wa barabara ni vema ukakodi dereva au tumia usafiri wa umma ni salama na nafuu sana pamoja na kuwa ajali zipo ila ina nafuu walau uhakika wa kupona baadhi ya wanafamilia upo,
 
poleni wafiwa na wote mlioguswa na msiba huu. Lakin nadhani haikuwa busara kwa kumwachà bibi harusi mtarajiwa kuendesha gari safari ndefu namna hiyo; kwanza alikuwa hyper excited kwa ajili ya arusi na mchecheto wa arusi. Haikuwa busara kabisa kumpa usukani. Apumzike kwa amani. Pole bwana arusi mtarajiwa😭
Wanawake wa kichaga wana tabia ya kujiamini sana
 
Kwa tabia alizoonesha bibi harusi hiyo ndoa mwanaume alikuwa anakwenda kuteseka sana, wenye kuelewa watakuwa wamenielewa.

Kuna tabia za kike zinaeleweka, ukiona mwanamke anaamini kila anachofanya mwanaume na yeye anaweza kufanya muogope sana mwanamke huyo.

Mimi nina driving experience kwa zaidi ya miaka 20, Nina international driving licence, ila safari za city to city huwa napenda kuwa na mtu au siku hizi naenjoy zaidi mtu akiniendesha.
 
Hapa inaonyesha ana agano la kutokuolewa...

Hilo agano ndio limeondoa uhai wake...

Vita baada ya kupata...
Hata mie nimehisi hivyo, thinking deep kwenye ulimwengu wa roho kuna mambo yalikuwa tayari yanaendelea hata sisi tulishauriwa kuwa makini sana kuelekea siku ya tukio. Vita ni kubwa sana ukizingatia kuna ambao wanaweka ngumu ili usioe au kuolewa wanatumia njia yeyote ile ili mkwame tu.
 
Back
Top Bottom