Bibi harusi mtarajiwa, mama yake wafa ajalini wakielekea Kilimanjaro kwenye maandilizi ya harusi yake

Mkuu ajali ni ajali.
 
Rip....
 
Hapa inaonyesha ana agano la kutokuolewa...

Hilo agano ndio limeondoa uhai wake...

Vita baada ya kupata...
Watu wanashindwa kutafakari mambo ya msingi kwa undani.
Hujasafiri kuvuka mpaka wa nchi yako miaka yote ya uhai wako. Leo una miaka 70 unapata chance ya kuvuka mipaka unaenda kichwakichwa tu
Unaliwa kichwa huko nje.
Umeongea kitu umenifungua medulla oblongata
 
Ulimwengu wa Roho wa giza unamambo mengi sana...

Kama watu wangefunuliwa waone wangeweza kukwepa hali kama hiyo...

Tatizo watu Bado wanaamini uchawi/mizimu na ushirikina ..

Maagano yake ni magumu sana, unaweza usione Leo ila kizazi chako kitaipata...

Watu wengi wanateseka na maagano yaliyowekwa na wazazi wao au ukoo...
 
Yeye ndie alitaka afike wamuone kama anaweza kuendesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…