Wanawake wa kichaga wana tabia ya kujiamini sanapoleni wafiwa na wote mlioguswa na msiba huu. Lakin nadhani haikuwa busara kwa kumwachà bibi harusi mtarajiwa kuendesha gari safari ndefu namna hiyo; kwanza alikuwa hyper excited kwa ajili ya arusi na mchecheto wa arusi. Haikuwa busara kabisa kumpa usukani. Apumzike kwa amani. Pole bwana arusi mtarajiwa😭
Alitakiwa awe na miaka mingapi?Bibi hharusi ana miaka 37.
Sawa
Kuna sehemu nimesoma kuwa alikuwa anaenda kuolewa uke wenza kuwa mume aliacha kuoa ndoa na aliyekuwa naye akambwaga akaamua aoe huyo Sina uhakika kama ni kweli au la nilisoma tu mitandaoni maana mitandao habari zote za uongo na kweli pia huwemo
Bora umewadadavulia...Watu wanajiita ma GT wakati kusoma tuu habari na kuielewa hawawezi...Mfanyakazi wa ndani wa mdogo wake bibi harusi ambaye huyo mdogo ake ana mtoto wa miaka miwili.
Ana negative ya miaka 15Alitakiwa awe na miaka mingapi?
Hata Mimi niliwaza mkuu.Au jamaa alimkimbia Bibi harusi mwingine?🤣🤣
Am thinking aloud
Unashangaa Nini wakati umesema Bibi+harusiApumzike kwa amani tu.
Nilitaka kujua imekuaje bibi hharusi wa miaka 37
Ni sheria ya wapi?Ana negative ya miaka 15
Yote shereheMungu awape pumziko la milele, Amen!
Namfikiria bwana harusi mtarajiwa namuonea huruma, Mungu ampe faraja.
Halafu anazikwa siku iliyopangwa kuwa harusi yake, Lord!
Na wewe wachungaji wako sijui manabii wanakutia ujinga sana, nani anafanya maagano ya kutokuolewa?Hapa inaonyesha ana agano la kutokuolewa...
Hilo agano ndio limeondoa uhai wake...
Vita baada ya kupata...
Unawaza ujinga tu, kuna vitu si vya kufanya mtoto wa kike, hawakuumbwa hivyo.Hata Mimi niliwaza mkuu.
Hilo kombora
Hata mie nimehisi hivyo, thinking deep kwenye ulimwengu wa roho kuna mambo yalikuwa tayari yanaendelea hata sisi tulishauriwa kuwa makini sana kuelekea siku ya tukio. Vita ni kubwa sana ukizingatia kuna ambao wanaweka ngumu ili usioe au kuolewa wanatumia njia yeyote ile ili mkwame tu.Hapa inaonyesha ana agano la kutokuolewa...
Hilo agano ndio limeondoa uhai wake...
Vita baada ya kupata...