babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Hapa kuna jambo kidogo.
Mi nipo nakaa kwa kijanamke kimetoka Uganda.
Nilikitwanga kweli kweli mwaka mzima.
Kinakaa kwangu buree Nikafukuza kiende kilikotoka.
Ilikua baada ya ya kuniletea mabalaa kwangu
Sasa badae katika maisha huyu hapa Tukakutana. Ikabidi katika maongezi kasema njoo hapa kwangu ukae.
Nyumba yake.
Huyu binti alipewa urithi wa yule bwege akanunua. tajiri alikufwa.
Tatizo Hapa huyu binti halali,ni usiku kucha anaongea tu anaongea mpaka kunakucha.
Mbaya zaidi toka sa 11 kunakucha mpaka sa 4 hapa ni kelele tu. Upinde wa pili.
Wakulungwa siwaiti wakuu, nikizama upande huo tutatangaza vifo.sitaki itokee.