Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sono...
Sijui Basata waliruhusu vipi hii nyimbo na bila kuwaita hawa jamaa. Nyimbo na jina la huyu mama ni vitu viwili tofauti. Ni kama mzaha na dhihaka hivi au matusi kwa kifupi.Mkuu alafu kuna nyimbo mpya ya young lunya na jamaa flan wa mbeya inaitwa BIBI TITI
Watu wanachukilia vitu simple sana..Sijui Basata waliruhusu vipi hii nyimbo na bila kuwaita hawa jamaa. Nyimbo na jina la huyu mama ni vitu viwili tofauti. Ni kama mzaha na dhihaka hivi au matusi kwa kifupi.
Ilawamekula buyu, wanasubiri litajwe jina la raisi ndio tuone hadi wazee wa utii bila shurti wakiwasaka.
Sana Mkuu. Mi nilivyoisikia mara ya kwanza nilishangaa ila nikajausikia tena kwenye media kubwa tu nikashangaa zaidi.Watu wanachukilia vitu simple sana..
Ila ukifatilia mchango wa huyu bibi titi Mohamed unaona kabisa walizingua sana hawa wasanii
Alafu kilichoimbwa daahSana Mkuu. Mi nilivyoisikia mara ya kwanza nilishangaa ila nikajausikia tena kwenye media kubwa tu nikashangaa zaidi.