Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Makafiri wanapata taabu wanapoona majina ya kiislamu. Lakini huu ni ukweli usiyopingika, waislamu wana mchango mkubwa sana katika ukombozi wa nchi hii kutoka ktk mikono dhalimu ya wakoloni. Wengi wetu tumeathiriwa na historia aliyoiandika mzungu. Bila kutambua kwmb kuna uwongo mwingi ktk hiyo historia. Mfano mmoja wapo wa uwongo wa mzungu ktk historia, ni pale anapotufundisha kwmb "binaadamu hapo kabla alikuwa sokwe"Peleka msikitini
Mkuu..togwa,bwimbwi Ni vyakula asilia,siku hizi havionekani.Siwezi kumsahau Bibi Titi alikuwa anatuuzia togwa mtaa wa Ngarambe. Alikuwa mtengenezaji mzuri sana wa togwa la mtama kwenye chupa za soda na Bwimbi.
Baadae akaanza kutuuzia mafuta ya taa, enzi hizo yaliadimika.
RIP.
Ungetaja na miaka ingependeza zaidi tujue ni kabla au baada ya kuanza harakati..Siwezi kumsahau Bibi Titi alikuwa anatuuzia togwa mtaa wa Ngarambe. Alikuwa mtengenezaji mzuri sana wa togwa la mtama kwenye chupa za soda na Bwimbi.
Baadae akaanza kutuuzia mafuta ya taa, enzi hizo yaliadimika.
RIP.
Bukoka hii hii ambayo nilipita huelewi hata mji uko wapi?Bukoba ingejitenga ikawa nchi ungekuwa Ipo ndani ya G7 ya dunia
Eighties nipo mdogo, baadae Mwinyi akamrudishia maghorofa yake upanga akahama alipokuwa anaishi na wajukuu zake.Ungetaja na miaka ingependeza zaidi tujue ni kabla au baada ya kuanza harakati..
Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Kumbe aliacha maghorofa, angalau aliacha chochote kwa familiaEighties nipo mdogo, baadae Mwinyi akamrudishia maghorofa yake upanga akahama alipokuwa anaishi na wajukuu zake.
Shukrani sanaBuji...
Karibu ndugu yangu.
Dar...Mkuu..togwa,bwimbwi Ni vyakula asilia,siku hizi havionekani.
Bibi yetu huyu ilipaswa jina na heshima yake katika mapambano vitunzwe. Na vizazi vya Wanawake wa Sasa wasome habari zake badala ya kuwasoma mafeminist wa Ulaya. Historia yetu bado nyembamba na vitu vingi bado havijaandikwa nafurahishwa na Mzee wetu Mohamed Said kwa kuweka bayana yaliyo nyuma ya Pazia. Ningeshauri ayaweke kwenye vitabu na hifadhi nyingine za maandishi naamini siku moja tutarudi kufanys marejeo katika mfumo wetu waelimu na historia ya Tanzania