COMOTANG
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 2,131
- 1,821
Watayazoea tu hayo majina!!!Makafiri wanapata taabu wanapoona majina ya kiislamu. Lakini huu ni ukweli usiyopingika, waislamu wana mchango mkubwa sana katika ukombozi wa nchi hii kutoka ktk mikono dhalimu ya wakoloni. Wengi wetu tumeathiriwa na historia aliyoiandika mzungu. Bila kutambua kwmb kuna uwongo mwingi ktk hiyo historia. Mfano mmoja wapo wa uwongo wa mzungu ktk historia, ni pale anapotufundisha kwmb "binaadamu hapo kabla alikuwa sokwe"