Bibi Titi Mohamed na akina Mama wa Bukoba 1950s

Historia ya nchi hii amebebeshwa mtu mmoja tu wengine wakafichwa
 
U
Bukoka hii hii ambayo nilipita huelewi hata mji uko wapi?
Ivi unajuwa wabukoba wangapi wako nje wa nje lakini tokea kabla ya mkoloni hajaja bana.

Jk nyerere anaenda uno kudai Uhuru anadhania ndiye mtanganyika wa kwanza kufika uk.
Akashangaa kukutana na mtaa mzima wamejaa wahaya mpaka akashangaa kwa kilugha Chao akasema mbeeh.
Akawaogopa kinyama.
 
kuna tukio moja la wanawake wa UPARE ambao walipinga kodi ya mkoloni iliyoitwa MBIRU. tukio hilo ni vizuri likaelezwa kwasababu linashabihiana na kinachoendelea sasa hivi katika sakata la tozo za miamala.

Mwezi Januari mwaka 1945 kulitokea maandamano makubwa ya wenyeji wa wilaya ya Pare kupinga kodi(mbiru) iliyokuwa imeanzishwa bila ya wao kushirikishwa na mamlaka za Wakoloni na Machifu / Wafumwa.

Maandamano hayo yalianza kwa kuhusisha wanaume peke yao ambao walikusanyika kwa wiki kadhaa makao makuu ya wilaya Same mjini. Baadae wanawake nao wakajiunga na mkusanyiko huo wakimshinikiza DC na serikali wamalize mgogoro huo uliohusisha kodi.
 
Saivi waandamaane basi hata mtandaoni
 
Basi wajenge kwao
 
Siwezi kumsahau Bibi Titi alikuwa anatuuzia togwa mtaa wa Ngarambe. Alikuwa mtengenezaji mzuri sana wa togwa la mtama kwenye chupa za soda na Bwimbi.
Baadae akaanza kutuuzia mafuta ya taa, enzi hizo yaliadimika.
RIP.
Mhhhhhhhh mkuu mbona kama [emoji478][emoji506]
 
Mhhhhhhhh mkuu mbona kama [emoji478][emoji506]
Kwa mtu kama wewe utakuwa unaona ni maluweluwe.
Huyo bibi alikuwa humble sana, na nimepata bahati ya kuishi naye kama jirani yangu na wajukuu zake nimesoma nao mmoja wa kiume nimecheza nae mpira utotoni.
Ni vigumu kuelewa enzi hizo huwezi kuishi Dar bila vitambulisho. Sasa hivi mastar wenu kina Mwijaku, ndo lazima usielewe.
 
MAGAIDI yameshaharibu uzi
 
Alikuwa nyumba ndogo yake
 
Mkuu, Mohamed Said!

Hao viongozi wa TANU kwa wanawake ukanda huo, Yaani wakina mama wa Bukoba walikuwa ni ndugu wa damu?!

Nimeona majina yao kufanana fanana karibu wote.

Na hapo walipokutana na Bibi Titi ulikuwa mwaka gani?
 
Majina ya kiislam au ya kiarabu? Kaijage nalo la kiislam au kihaya?
 
"Buheri wa siha", "Buheri wa afya", "dhumuni la waraka", "Natanguliza shukrani zangu za dhati", "wako mtiifu".

Maneno hayo yananikumbusha miaka kadhaa ilopita, Ulikuwa ni uandishi safi kabisa na maridhawa ulotukuka kabla ya leo kuvamiwa kizazi cha "xaxa", xtaki, "xoma" n.k

Nakumbuka wakati huo niliandika barua mbili, Moja ikiwa ya kumwombea kazi jamaa yangu katika kampuni fulani ambapo alikubaliwa kazi moja kwa moja japo vigezo vingine havikuwa toshelezi.

Na waraka wa pili niliuandika kwa umaridadi kabisa ili kumtongoza binti, Na baada ya kuusoma alinielewa sana.
 
Mkuu, Mohamed Said!

Hao viongozi wa TANU kwa wanawake ukanda huo, Yaani wakina mama wa Bukoba walikuwa ni ndugu wa damu?!

Nimeona majina yao kufanana fanana karibu wote.

Na hapo walipokutana na Bibi Titi ulikuwa mwaka gani?
Regi...
Hiyo picha kanirushia mtu sina taarifa zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…