Bibi wa miaka 67 asimulia alivyosifiwa kuwa na mapaja mazuri kisha kubakwa

Mimi pia nimejiuliza swali kama hilo. Nilitegemea manii zipimwe DNA kisha na huyo jamaa apimwe DNA ili kusiwe na shaka kabisa katika kumtia hatiani.
Huyu kakosa wakili, in short maelezo ya mdomoni kutoka kwa bibi sio ushahidi wa kutosha. Kama alibakwa na mwingine? Au bibi alikuwa kalewa? Nae saa 7 usiku si angekuwa kalala?😀

Nacheka kama mazuri ila hii dunia ishakuwa tamabala bovu ukute walitofautiana malipo, au wote walikuwa wamelewa.

Hivi haya majibu ya daktari mmh proof iko wapi? Kama kaingiliwa na mwingine?

Hili nalo ilibidi walitizame kabla ya mtu kusweka ndani 30yrs.
 
Mimi pia nimejiuliza swali kama hilo. Nilitegemea manii zipimwe DNA kisha na huyo jamaa apimwe DNA ili kusiwe na shaka kabisa katika kumtia hatiani.
Akate rufaa ni kama haki haikutendeka kwa upande wa mshitakiwa.
 
Hiio hajasingiziwa mkuu huyo Mangi kala mzigo wa Bibi pasina shaka yoyote kila kitu kipo wazi it was proved beyond reasonable doubt hata akikata rufaa bado atakutwa na hatia tu, tatizo udomo zege ulimtawala madomo zege ni janga la taifa, mtu hajui kumtongoza mwanamke akamwelewa anaishia kubaka kinguvu tu jambo ambalo sio sahihi acha avune alichokipanda

Umeelewa au nianze upya?
 
Mbona bibi mwenyewe ni bint tu? Au hii picha ya zamani?
 
Hivi kwa maelezo hayo bado huoni hatia
Nacheka kama mazuri ila hii dunia ishakuwa tamabala bovu ukute walitofautiana malipo, au wote walikuwa wamelewa.

Hivi haya majibu ya daktari mmh proof iko wapi? Kama kaingiliwa na mwingine?
Hivi kwa maelezo haya hauoni km Mangi ndie aliekula huyo Bibi yaani huoni kabisa bado unaona kasingiziwa wewe una experience ya kubakwa mara ngapi?

Emu tuanzie hapo...
mshitakiwa alianza kumsifia kuwa ana mapaja mazuri na kumuomba amkubalie wafanye mapenzi kwa ahadi ya kumpa Sh20,000.

Bibi huyo alikataa na ndipo mshitakiwa alimpiga ngwala na bibi huyo akadondoka chini na mshitakiwa alimfuata na kumtoa nguo na kumbaka kitendo kilichosababisha bibi huyo kupoteza fahamu na majeraha pia.
Kumbuka huu sio utunzi ni real life situation Bibi kabakwa kweli kwa mujibu wa haya maelezo usije ukasema bibi kichaa..

Ndio maana nakuuliza wewe umeshabakwa mara ngapi au haujawahi kubakwa?

Utupe experience yako ukitaka kubakwa unakuaje kuaje?
 
Hivi kwa maelezo hayo bado huoni hatia
Hivi kwa maelezo haya hauoni km Mangi ndie aliekula huyo Bibi yaani huoni kabisa bado unaona kasingiziwa wewe una experience ya kubakwa mara ngapi?

Emu tuanzie hapo...

Kumbuka huu sio utunzi ni real life situation Bibi kabakwa kweli kwa mujibu wa haya maelezo usije ukasema bibi kichaa..

Ndio maana nakuuliza wewe umeshabakwa mara ngapi au haujawahi kubakwa?

Utupe experience yako ukitaka kubakwa unakuaje kuaje?
Mimi siongelee kubakwa naongelea ushahidi ulotolewa hautoshi kabisa sio kwamba namtetea mbakaji. No huo ushahidi hapana kisheria.
 
Daah wachaga bwana

Kwahyo bwana Urio ameshindwa hata kununua au moshi hamna machimbo
 
ushahidi ulotolewa hautoshi kabisa sio kwamba namtetea mbakaji
Wewe unasema ushahidi hautoshi nakuuliza umewahi kubakwa?
Au umewahi kubaka?
Au umewahi kubaka then ukabakwa?
Au una uzoefu wowote wa kubakwa?
Au una uzoefu wowote wa kubaka?
Au unazijua process za ubakaji?
Au unaona ni process gani ya ubakaji imeachwa?
Au ili mtu athibitike kua kabakwa ni process zipi za ubakaji zifuatwe?
Au ili mtu athibitike kua kabaka ni process zipi za ubakaji zifuatwe?
Au ni kipi kimesahaulika katika maelezo ya waleta mashtaka?
Au ni kipi kinachokushawishi kuona kwamba mshtakiwa hajabaka?
Au ni kipi ambacho kinamfanya Mangi asiwe mbakaji?
Au wewe ni mbakaji?
Au wewe ni mbakwaji?

Inaweza ikawa najadiliana na mbakaji au mbakwaji mbobevu pasina kujua

Nipe hizo process za kubaka unazozijua wewe ambazo Bibi hajazipitia kwa huyo Mangi hadi uone bibi kamsingizia

Bibi kwa maelezo yake amesema alipigwa ngwala na mshtakiwa akaanguka chini akachojolewa nguo kisha akabakwa

Nini kimefichwa hapo?

Taja process ipi ya ubakaji imeachwa hapo inayomfanya mshitakiwa asiwe na hatia? Kupiga kelele au kupiga nduru au kupiga yowee 'nabakwaaaaaa huku' hicho ndicho unaona kimeachwa ili watu waje kumsaidia anabakwa unaona hio ndio process iliyoachwa au? Utajuaje km alimziba mdomo? Utajuaje km àlishindwa kupata uwezo wa kupiga nduru?

Lastly itoshe kusema wewe ni mtetezi wa mhalifu huyo Mangi kabaka acha kutetea wahalifu ushahidi uliotolewa umetosha kumtia hatiani pasina shaka yeyote yaan it was proved beyond reasonable doubt the guy raped the grandma

Mangi kambaka huyo bibi acha kumtetea
 
MCHAGGA NA MAPAJA????????????????
INAFIKIRISHA SANA HIII[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
LABDA AWE AMECHANGANYA DAMU NA MNYAKYUSA[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] OTHERWISE NI UOOOOOOONGO KAMA UOOOOOONGO MWINGINE[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kwahiyo wachagga hawana mapaja
 
Mimi pia nimejiuliza swali kama hilo. Nilitegemea manii zipimwe DNA kisha na huyo jamaa apimwe DNA ili kusiwe na shaka kabisa katika kumtia hatiani.
Kama alitumia Condom au hakumwaga manii?
 
Wewe unasema ushahidi hautoshi nakuuliza umewahi kubakwa?
Au umewahi kubaka?
Au umewahi kubaka then ukabakwa?
Au una uzoefu wowote wa kubakwa?
Au una uzoefu wowote wa kubaka?
Au unazijua process za ubakaji?
Au unaona ni process gani ya ubakaji imeachwa?
Au ili mtu athibitike kua kabakwa ni process zipi za ubakaji zifuatwe?
Au ili mtu athibitike kua kabaka ni process zipi za ubakaji zifuatwe?
Au ni kipi kimesahaulika katika maelezo ya waleta mashtaka?
Au ni kipi kinachokushawishi kuona kwamba mshtakiwa hajabaka?
Au ni kipi ambacho kinamfanya Mangi asiwe mbakaji?
Au wewe ni mbakaji?
Au wewe ni mbakwaji?

Inaweza ikawa najadiliana na mbakaji au mbakwaji mbobevu pasina kujua

Nipe hizo process za kubaka unazozijua wewe ambazo Bibi hajazipitia kwa huyo Mangi hadi uone bibi kamsingizia

Bibi kwa maelezo yake amesema alipigwa ngwala na mshtakiwa akaanguka chini akachojolewa nguo kisha akabakwa

Nini kimefichwa hapo?

Taja process ipi ya ubakaji imeachwa hapo inayomfanya mshitakiwa asiwe na hatia? Kupiga kelele au kupiga nduru au kupiga yowee 'nabakwaaaaaa huku' hicho ndicho unaona kimeachwa ili watu waje kumsaidia anabakwa unaona hio ndio process iliyoachwa au? Utajuaje km alimziba mdomo? Utajuaje km àlishindwa kupata uwezo wa kupiga nduru?

Lastly itoshe kusema wewe ni mtetezi wa mhalifu huyo Mangi kabaka acha kutetea wahalifu ushahidi uliotolewa umetosha kumtia hatiani pasina shaka yeyote yaan it was proved beyond reasonable doubt the guy raped the grandma

Mangi kambaka huyo bibi acha kumtetea
Haya yote hawajawahi nipata. Nasimama upande wa sheria ni ngumu ku prove kwamba ni yeye aliba dr alipima? Alipima nini? Sperms akakuta ni za mlalamikiwa?

Kama amefqnya hilo kosa apewe adhabu yeyote, mimi nilikuwa nawaza upande wa pili hii kitu ni ngumu kui prove.ukiachana na bibi kuaema ni yeye ushahidi mwingine ni ngumu.
 
Back
Top Bottom