Huyu kakosa wakili, in short maelezo ya mdomoni kutoka kwa bibi sio ushahidi wa kutosha. Kama alibakwa na mwingine? Au bibi alikuwa kalewa? Nae saa 7 usiku si angekuwa kalala?😀Mimi pia nimejiuliza swali kama hilo. Nilitegemea manii zipimwe DNA kisha na huyo jamaa apimwe DNA ili kusiwe na shaka kabisa katika kumtia hatiani.
🤐🤐Ukale unapopeleka mboga mkuu
Akate rufaa ni kama haki haikutendeka kwa upande wa mshitakiwa.Mimi pia nimejiuliza swali kama hilo. Nilitegemea manii zipimwe DNA kisha na huyo jamaa apimwe DNA ili kusiwe na shaka kabisa katika kumtia hatiani.
Ni saa moja km 1 ☝️ sio saa 7 km 1 ni Kiswahili sio Kingerezaulionyesha kuwa siku hiyo saa 1:45 usiku
Nae saa 7 usiku si angekuwa kalala?
Hiio hajasingiziwa mkuu huyo Mangi kala mzigo wa Bibi pasina shaka yoyote kila kitu kipo wazi it was proved beyond reasonable doubt hata akikata rufaa bado atakutwa na hatia tu, tatizo udomo zege ulimtawala madomo zege ni janga la taifa, mtu hajui kumtongoza mwanamke akamwelewa anaishia kubaka kinguvu tu jambo ambalo sio sahihi acha avune alichokipandaAkate rufaa ni kama haki haikutendeka kwa upande wa mshitakiwa.
Hivi kwa maelezo haya hauoni km Mangi ndie aliekula huyo Bibi yaani huoni kabisa bado unaona kasingiziwa wewe una experience ya kubakwa mara ngapi?Nacheka kama mazuri ila hii dunia ishakuwa tamabala bovu ukute walitofautiana malipo, au wote walikuwa wamelewa.
Hivi haya majibu ya daktari mmh proof iko wapi? Kama kaingiliwa na mwingine?
Kumbuka huu sio utunzi ni real life situation Bibi kabakwa kweli kwa mujibu wa haya maelezo usije ukasema bibi kichaa..mshitakiwa alianza kumsifia kuwa ana mapaja mazuri na kumuomba amkubalie wafanye mapenzi kwa ahadi ya kumpa Sh20,000.
Bibi huyo alikataa na ndipo mshitakiwa alimpiga ngwala na bibi huyo akadondoka chini na mshitakiwa alimfuata na kumtoa nguo na kumbaka kitendo kilichosababisha bibi huyo kupoteza fahamu na majeraha pia.
Mimi siongelee kubakwa naongelea ushahidi ulotolewa hautoshi kabisa sio kwamba namtetea mbakaji. No huo ushahidi hapana kisheria.Hivi kwa maelezo hayo bado huoni hatia
Hivi kwa maelezo haya hauoni km Mangi ndie aliekula huyo Bibi yaani huoni kabisa bado unaona kasingiziwa wewe una experience ya kubakwa mara ngapi?
Emu tuanzie hapo...
Kumbuka huu sio utunzi ni real life situation Bibi kabakwa kweli kwa mujibu wa haya maelezo usije ukasema bibi kichaa..
Ndio maana nakuuliza wewe umeshabakwa mara ngapi au haujawahi kubakwa?
Utupe experience yako ukitaka kubakwa unakuaje kuaje?
Labda Jaji nisiwe mimi...Hii kesi jamaa akikata rufaa anaenda nyumbani mapemaa saa 3 asubuhi
Wewe unasema ushahidi hautoshi nakuuliza umewahi kubakwa?ushahidi ulotolewa hautoshi kabisa sio kwamba namtetea mbakaji
Sasa kama huyu bibi akibakwa watu watalaumu?
Kwahiyo wachagga hawana mapajaMCHAGGA NA MAPAJA????????????????
INAFIKIRISHA SANA HIII[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
LABDA AWE AMECHANGANYA DAMU NA MNYAKYUSA[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] OTHERWISE NI UOOOOOOONGO KAMA UOOOOOONGO MWINGINE[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kama alitumia Condom au hakumwaga manii?Mimi pia nimejiuliza swali kama hilo. Nilitegemea manii zipimwe DNA kisha na huyo jamaa apimwe DNA ili kusiwe na shaka kabisa katika kumtia hatiani.
Huyu naye ni kijana kweli? Miaka 48!Kijana mwenye umri wa miaka 48
Mwigulu mdogo kwa january 😀Mbona January anagonga 50 bado anatwa kijana. Mwigulu anaenda kugonga 60 anaitwa kijana
Yule kafoji majina hadi miakaMwigulu mdogo kwa january 😀
Haya yote hawajawahi nipata. Nasimama upande wa sheria ni ngumu ku prove kwamba ni yeye aliba dr alipima? Alipima nini? Sperms akakuta ni za mlalamikiwa?Wewe unasema ushahidi hautoshi nakuuliza umewahi kubakwa?
Au umewahi kubaka?
Au umewahi kubaka then ukabakwa?
Au una uzoefu wowote wa kubakwa?
Au una uzoefu wowote wa kubaka?
Au unazijua process za ubakaji?
Au unaona ni process gani ya ubakaji imeachwa?
Au ili mtu athibitike kua kabakwa ni process zipi za ubakaji zifuatwe?
Au ili mtu athibitike kua kabaka ni process zipi za ubakaji zifuatwe?
Au ni kipi kimesahaulika katika maelezo ya waleta mashtaka?
Au ni kipi kinachokushawishi kuona kwamba mshtakiwa hajabaka?
Au ni kipi ambacho kinamfanya Mangi asiwe mbakaji?
Au wewe ni mbakaji?
Au wewe ni mbakwaji?
Inaweza ikawa najadiliana na mbakaji au mbakwaji mbobevu pasina kujua
Nipe hizo process za kubaka unazozijua wewe ambazo Bibi hajazipitia kwa huyo Mangi hadi uone bibi kamsingizia
Bibi kwa maelezo yake amesema alipigwa ngwala na mshtakiwa akaanguka chini akachojolewa nguo kisha akabakwa
Nini kimefichwa hapo?
Taja process ipi ya ubakaji imeachwa hapo inayomfanya mshitakiwa asiwe na hatia? Kupiga kelele au kupiga nduru au kupiga yowee 'nabakwaaaaaa huku' hicho ndicho unaona kimeachwa ili watu waje kumsaidia anabakwa unaona hio ndio process iliyoachwa au? Utajuaje km alimziba mdomo? Utajuaje km àlishindwa kupata uwezo wa kupiga nduru?
Lastly itoshe kusema wewe ni mtetezi wa mhalifu huyo Mangi kabaka acha kutetea wahalifu ushahidi uliotolewa umetosha kumtia hatiani pasina shaka yeyote yaan it was proved beyond reasonable doubt the guy raped the grandma
Mangi kambaka huyo bibi acha kumtetea