Bibi wa miaka 86, aapa kutojihusisha tena na mapenzi baada ya kumtosa kijana wa Misri mwenye umri wa miaka 37

Bibi wa miaka 86, aapa kutojihusisha tena na mapenzi baada ya kumtosa kijana wa Misri mwenye umri wa miaka 37

Papillon 1906

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
228
Reaction score
753
Bibi wa miaka 86, ameapa kutojihusisha tena na mapenzi baada ya kumtosa kijana wa misri mwenye umri wa miaka 37.

Iris Jones na Mohammed Ibrahim walikutana katika mtandao wa kijamii mwaka 2019, na baadae ya kufunga ndoa Cairo kila mmoja aliishi nchini kwakwe kwa muda wa miaka miwili. Kabla ya Mohammed Ibrahim kupata visa na kwenda kuishi kwenye nyumba ya Iris weston - super - mare, uingereza.

Hata hivyo mnamo mwaka 2023 Iris aliweka wazi kuvunja ndoa hiyo na toyboy Mohammed Ibrahim, na kusema kuwa kijana huyo alikuwa mbinafsi na alikuwa na yeye sababu ya kuvuna pesa tu na sio mapenzi.

Statement ya benki imeonesha Iris ali transfer thousands of pounds kwenda kwenye akaunti ya Mohammed Ibrahim kwa kigezo cha kumkopesha, lakini pesa hiyo haikulejeshwa kwa sababu ya Mohammed kugoma kulipa.

Iris ambae ni legal secretary wa zamani ameweka wazi kuto jihusisha tena na mapenzi baada ya kukutana na experience mbaya ya mapenzi kutoka kwa kijana wa Cairo.


images (1).jpeg
 
86!!!!!!,,presha za kujitakia tu
 
Nauliza tuu ikichapwa ana feel adjee ?

Je kiwango Cha joto lile ni sawa na hata watu wa 40-50 yrs ?

Kuna watu wana roho mm hata busu kavu shughuli pevu
 
Back
Top Bottom