Bibi huwa anaongea mambo mengi ya kulikanya na kuliponya taifa. Wewe ndio kwanza unamsikia leo?script potofu, nonsense na za kizushi kama hizi hudhalilisha wazazi wa watu, familia na ukoo mzima.
maskini mzazi wa watu kabebwa ufala kifikra na pengine kapewa elfu5 tu ajidhalilishe hivyo na kudhalilisha wanawe.
umaskini ni kitu mbaya sana aise
unaju uzushi ni jmbo la fedheha sana hasa unapokua umeshupaliwa na mama tena mzazi wa mtu.Bibi huwa anaongea mambo mengi ya kulikanya na kuliponya taifa. Wewe ndio kwanza unamsikia leo?
Mambo ya escape from sobiborscript potofu, nonsense na za kizushi kama hizi hudhalilisha wazazi wa watu, familia na ukoo mzima.
maskini mzazi wa watu kabebwa ufala kifikra na pengine kapewa elfu5 tu ajidhalilishe hivyo na kudhalilisha wanawe.
umaskini ni kitu mbaya sana aise
Siyo kwa kondo tena!?Huyu bibi=wanaume wa Dar 1,000
Wapotofu wote lazima muumizwe sana na maneno ya kila mzalendo wakweli kama huyu.script potofu, nonsense na za kizushi kama hizi hudhalilisha wazazi wa watu, familia na ukoo mzima.
maskini mzazi wa watu kabebwa ufala kifikra na pengine kapewa elfu5 tu ajidhalilishe hivyo na kudhalilisha wanawe.
umaskini ni kitu mbaya sana aise
uumizwe na nani gentleman?Wapotofu wote lazima muumizwe sana na maneno ya kila mzalendo wakweli kama huyu.
Wale wanawake level yako wanaonuka mitaro leo weka order 7.unaju uzushi ni jmbo la fedheha sana hasa unapokua umeshupaliwa na mama tena mzazi wa mtu.
ni fedheha zaidi kwa wanawe na ukoo wake kwa ujumla kwasababu hiyp porojo haina athari zaidi, ispokua kama anatumiwa mitandaono kutengeneza contents za kumuingizia kipato bila kujali kwamba ni kweli au sio kweli
Mkuu, je, wewe unajua miili ilipelekwa wapi?script potofu, nonsense na za kizushi kama hizi hudhalilisha wazazi wa watu, familia na ukoo mzima.
maskini mzazi wa watu kabebwa ufala kifikra na pengine kapewa elfu5 tu ajidhalilishe hivyo na kudhalilisha wanawe.
umaskini ni kitu mbaya sana aise
Wewe ukweli unao? Mbona hujawahi kuuweka hadharani? Kama huna ukweli acheni wenye ukweli waseme. Wewe kinachokuuma nini? Unajua uchungu walionao ndugu ambao miili ya wapendwa wao iliteketezwa? Hebu vaa viatu vyao kwanza kabla ya kuja hapa kutetea uovu mkuu.unaju uzushi ni jmbo la fedheha sana hasa unapokua umeshupaliwa na mama tena mzazi wa mtu.
ni fedheha zaidi kwa wanawe na ukoo wake kwa ujumla kwasababu hiyp porojo haina athari zaidi, ispokua kama anatumiwa mitandaono kutengeneza contents za kumuingizia kipato bila kujali kwamba ni kweli au sio kweli
Nyie hapo lumumba mnalipwa sh ngapiscript potofu, nonsense na za kizushi kama hizi hudhalilisha wazazi wa watu, familia na ukoo mzima.
maskini mzazi wa watu kabebwa ufala kifikra na pengine kapewa elfu5 tu ajidhalilishe hivyo na kudhalilisha wanawe.
umaskini ni kitu mbaya sana aise
HahaHuyu bibi=wanaume wa Dar 1,000
Je, maumivu ya watoto wa bibi ni makubwa kuliko ya ndugu na jamaa ambao hawakupewa miili ya wapendwa wao wakazike?uumizwe na nani gentleman?
na huyo mbibi mzazi wa wenyewe au?
huenda anawafedhehesha wanawe kwa kutumika vibaya mitandaoni
najaribu kufikiria watoto watu wazima wa huyo mbibi wanajiskiaje mzazi wao akitumika kueleza porojo za kizushi mitandaoni. dah!Nyie hapo lumumba mnalipwa sh ngapi
kumbe porojo na uzushi vinaweza kuumiza gentleman?Je, maumivu ya watoto wa bibi ni makubwa kuliko ya ndugu na jamaa ambao hawakupewa miili ya wapendwa wao wakazike?