Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
hakuna porojo nonsense kama hiyo nchini gentlemanMkuu, je, wewe unajua miili ilipelekwa wapi?
hakuna porojo nonsense kama hiyo nchini gentlemanMkuu, je, wewe unajua miili ilipelekwa wapi?
siwezi kupoteza muda au kubabaika na porojo na uzushio nonsense kama huo gentlemanWewe ukweli unao? Mbona hujawahi kuuweka hadharani? Kama huna ukweli acheni wenye ukweli waseme. Wewe kinachokuuma nini? Unajua uchungu walionao ndugu ambao miili ya wapendwa wao iliteketezwa? Hebu vaa viatu vyao kwanza kabla ya kuja hapa kutetea uovu mkuu.
gentleman,Mkuu jibu swali, acha porojo.

Mbona wewe umesema ulilala na wanawake wenye makucha na lipshine lakini wote wakakunukua mitaro.unaju uzushi ni jmbo la fedheha sana hasa unapokua umeshupaliwa na mama tena mzazi wa mtu.
ni fedheha zaidi kwa wanawe na ukoo wake kwa ujumla kwasababu hiyp porojo haina athari zaidi, ispokua kama anatumiwa mitandaono kutengeneza contents za kumuingizia kipato bila kujali kwamba ni kweli au sio kweli
Una maanisha hakuna watu waliopigwahakuna porojo nonsense kama hiyo nchini gentleman
au porojo zipi mkuu?Weka ya kwako unayoamini kuwa ndiyo ya ukweli ili tufanye comparison, there are always different versions of any information.script potofu, nonsense na za kizushi kama hizi hudhalilisha wazazi wa watu, familia na ukoo mzima.
maskini mzazi wa watu kabebwa ufala kifikra na pengine kapewa elfu5 tu ajidhalilishe hivyo na kudhalilisha wanawe.
umaskini ni kitu mbaya sana aise
Hata makaburu hawakufikia ukatili na ushenzi huu uliofanywa na serikali dhalimu ya CCM kwa Watanganyika.Kama unavyomsikia Bibi wa Taifa kwenye clip hapo chini, anasema maiti za wananchi waliouliwa wakati wa sekeseke la MO29 na kisha miili yao kuchukuliwa na kupelekwa kusikojulikana, ziliteketezwa kwenye tanuru la kiwanda cha sementi.
Wakati watu wanatafuta miili ya ndugu zao wazike kumbe miili hiyo tayari ilishateketezwa! Anasema maiti nyingi zilizochukuliwa kwenye hospitali za Dar zilichomwa kwenye tanuru la kiwanda cha sementi Wazo Hill. Hii ni mbaya sana.
MAONI YANGU
Kama kweli hizo maiti ziliteketezwa kwenye tanuru la sementi badala ya kuwapa ndugu wawazike wapendwa wao, hili ni jambo la kinyama sana. Haijawahi kutokea ktk historia ya nchi hii. Sijawahi kushuhudia uovu wa namna hiyo aslani. Ikiwa majivu ya miili iliyoteketezwa yanaweza kupatikana, nashauri ndugu wapewe wakazike.
Walijaribu kumroga lakini uchawi wao ukawarudia wenyewe sasa wanazidi kupukutika.huyu bibi bado yupo kwenye chati?
Hivi mtu anapata wapi ujasiri wa kupinga kila kitu wakati mambo mengine yapo wazi?Script potofu, nonsense na za kizushi kama hizi hudhalilisha wazazi wa watu, familia na ukoo mzima.
maskini mzazi wa watu kabebwa ufala kifikra na pengine kapewa elfu5 tu ajidhalilishe hivyo na kudhalilisha wanawe.
umaskini ni kitu mbaya sana aise
Mambo ya kanisa yanaingiaje hapa mkuu? Wewe unafahamu miiili ya ndugu zetu ilipo tuchukue tukazike?Bibi katumwa na kanisa ,zile ramli za wachungaji wake kwamba Gwajima atakuwa Rais anaona zimeeenda hovyo...Kabaki anapiga domo na kuambiwa cha kusema