Nampurukano
JF-Expert Member
- Jul 17, 2015
- 2,143
- 2,872
Serikali hakuna mambo ya uzushi kuna mambo ya ukweli ambayo wao wanaita siri
We mbwa wewe maiti mmepeleka wapi ?Script potofu, nonsense na za kizushi kama hizi hudhalilisha wazazi wa watu, familia na ukoo mzima.
maskini mzazi wa watu kabebwa ufala kifikra na pengine kapewa elfu5 tu ajidhalilishe hivyo na kudhalilisha wanawe.
umaskini ni kitu mbaya sana aise
5000 NI MASKINIScript potofu, nonsense na za kizushi kama hizi hudhalilisha wazazi wa watu, familia na ukoo mzima.
maskini mzazi wa watu kabebwa ufala kifikra na pengine kapewa elfu5 tu ajidhalilishe hivyo na kudhalilisha wanawe.
umaskini ni kitu mbaya sana aise
hakuna haja ya kubabaika na uzushi wala porojo nonsense kama hizo gentlemanNdezi ni wewe unayetetea miili ya raia kuchomwa kwenye tanuru badala ya kukabidhiwa kwa ndugu na jamaa wakaizike kiheshima.
unalipwa elf7 gentleman, right?5000 NI MASKINI
7000 NI TAJIRI
🤠🤠🤠🤠🫡
Wao (wauaji) wanaona ni siri wakati ukweli wote upo hadharani. Na walipoona miili imewalemea kuteketeza, wakachukua mingine wakaenda kuzika kwenye kaburi la halaiki. Mungu anawaona na atawashughulikia sawasawa na matendo yao.Mh. Polepole yuko wapi?!
Laana ya damu ya mtu hutafuna hadi kizazi cha nne. Hii laana ya mauaji itawaandama maCCM hadi kizazi cha nne.Laana yake ni mbaya sanaa damu ya asie na hatia haiend bure si umeona wanavyoanza kuuana wenyewe kwa wenyewe hata congo walimuu lumumba kinyama hakua na hatia damu yake haikwenda bure unaona wanavyouna