PostGE2025 Bibi wa Taifa: Maiti za MO29 zilichomwa kwenye tanuru

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Serikali hakuna mambo ya uzushi kuna mambo ya ukweli ambayo wao wanaita siri
Hiyo wanayoita siri ndiyo watawala wanayoitumia kukandamiza maslahi ya wananchi.
 
Si mlisema imefukiwa kwa kondo au sio??
Kwa Dar, miili iliyofukiwa Kondo ni 20% tu. 80% iliyobaki ilichomwa kwenye tanuru la kiwanda cha sementi Wazo Hill. Wewe ulikuwa unafikirije mkuu?
 
MAONI YANGU

Kama kweli hizo maiti ziliteketezwa kwenye tanuru la sementi badala ya kuwapa ndugu wawazike wapendwa wao, hili ni jambo la kinyama sana. Haijawahi kutokea ktk historia ya nchi hii. Sijawahi kushuhudia uovu wa kiwango hiki aslani. Ikiwa majivu ya miili iliyoteketezwa yanaweza kupatikana, nashauri ndugu wapewe wakazike.
Matukio kama hayo hayapiti bure bila adhabu!
 
Mi nahisi kuna vitu hii nchi vikiwekwa wazi kuna watu watahama nchi
Watawala wa nchi hii ni zaidi ya mashetani. Wamefanya mambo mengi ya kishetani na kukaa kimya huku wananchi tukiendelea kubaki gizani. Kwa mfano, kitendo cha kuwateka na kuwaua Mdude, Polepole na Ben Saanane ni zaidi ya ushetani. Unateka watoto wa wenzako unawaua halafu unayeyusha miili yao kwenye conc H2SO4, una tofauti gani na shetani? Bi Kisimkazi ni miongoni mwa mashetani wakubwa hapa nchini.
 
Binadamu wengi wakipata fedha au madaraka wanasahau hapa duniani sisi ni watalii tu tunapita, watu hawana utu kabisa huku wakijivika vazi la dini.
 
Hasa huyu bibi Kizimkazi ni zaidi ya Lucifer.
 
Kule kwa kKondo baadaye mingine ya WaTanganyika ilihamishwa kuunganishwa na mingine mingi kuteketezwa Wazo Hill!
Unaonaje ukiweka ushahidi wa picha wakati miili inahamishwa kupelekwa wazo.? Hizi story tupu tutaona ni uzushi tu
 
Kwa Dar, miili iliyofukiwa Kondo ni 20% tu. 80% iliyobaki ilichomwa kwenye tanuru la kiwanda cha sementi Wazo Hill. Wewe ulikuwa unafikirije mkuu?
Nafikiri kuwekwe ushahidi tuamini isiwe porojo tu
 
Unaonaje ukiweka ushahidi wa picha wakati miili inahamishwa kupelekwa wazo.? Hizi story tupu tutaona ni uzushi tu
Ushahidi utatumika muda muafaka. Kama kwa utulivu! In the meantime tafuta ndugu/rafiki anayefanya kazi/kukaa Wazo Hill.
 
Unaonaje wewe ukipinga hoja kwa kutuwekea ushahidi wa mahali miili ya wapendwa wetu ilipopelekwa?
 
Kama unavyomsikia Bibi wa Taifa kwenye clip hapo chini, anasema maiti za wananchi waliouliwa wakati wa sekeseke la MO29 na kisha miili yao kuchukuliwa na kupelekwa kusikojulikana, ziliteketezwa kwenye tanuru la kiwanda cha sementi.
​
Wakati watu wanatafuta miili ya ndugu zao wazike kumbe miili hiyo tayari ilishateketezwa! Anasema maiti nyingi zilizochukuliwa kwenye hospitali za Dar zilichomwa kwenye tanuru la kiwanda cha sementi Wazo Hill. Hii ni mbaya sana.

MAONI YANGU

Kama kweli hizo maiti ziliteketezwa kwenye tanuru la sementi badala ya kuwapa ndugu wawazike wapendwa wao, hili ni jambo la kinyama sana. Haijawahi kutokea ktk historia ya nchi hii. Sijawahi kushuhudia uovu wa kiwango hiki aslani. Ikiwa majivu ya miili iliyoteketezwa yanaweza kupatikana, nashauri ndugu wapewe wakazike.
Jamani, hivi hii hadidu ya rejea ya Bibi wa Taifa imezingatiwa na tume ya mchongo ya jaji Chande?
 
Ushahidi utatumika muda muafaka. Kama kwa utulivu! In the meantime tafuta ndugu/rafiki anayefanya kazi/kukaa Wazo Hill.
Yes. Ushahidi huu utatumika ICC; sio kwenye tume ya mchongo ya jaji Chande.
 
Hivi huyu mama anapokaa na maiti za wapendwa wetu hadi muda huu anajisikiaje?
 
Hivi huyu Bibi bado yupo ? Maana sisikii stori zake now.
 
Script potofu, nonsense na za kizushi kama hizi hudhalilisha wazazi wa watu, familia na ukoo mzima.

maskini mzazi wa watu kabebwa ufala kifikra na pengine kapewa elfu5 tu ajidhalilishe hivyo na kudhalilisha wanawe.

umaskini ni kitu mbaya sana aise
Naona wewe umepewa kitengo Cha utetezi humu jf!!

Una kiherehere kama nguchiro aliye kwenye heat
 
Changia mjadala bila makasiriko wala mihemko useless jukwaani na itapendeza zaidi gentleman 🐒
 
Back
Top Bottom