PostGE2025 Bibi wa Taifa: Maiti za MO29 zilichomwa kwenye tanuru

PostGE2025 Bibi wa Taifa: Maiti za MO29 zilichomwa kwenye tanuru

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Changia mjadala bila makasiriko wala mihemko useless jukwaani na itapendeza zaidi gentleman šŸ’
Wewe unaona ni sahihi Samuya na genge lake la wauaji kukaa na maiti za watu hadi muda huu badala ya kuwapa ndugu wakazike?
 
Kila nikilala nikiamka nashindwa kupata usingizi jinsi polisi walivyoondoa uhai wa raia wasiokuwa na hatia.

Kana kwamba hili halitoshi, bado polisi wanaendelea na ushenzy wa kuwapiga raia. Tukio la polisi kumpiga daktari na kumuumiza, kinaniuma sana.
 
Kama unavyomsikia Bibi wa Taifa kwenye clip hapo chini, anasema maiti za wananchi waliouliwa wakati wa sekeseke la MO29 na kisha miili yao kuchukuliwa na kupelekwa kusikojulikana, ziliteketezwa kwenye tanuru la kiwanda cha sementi.
​
Wakati watu wanatafuta miili ya ndugu zao wazike kumbe miili hiyo tayari ilishateketezwa! Anasema maiti nyingi zilizochukuliwa kwenye hospitali za Dar zilichomwa kwenye tanuru la kiwanda cha sementi Wazo Hill. Hii ni mbaya sana.


MAONI YANGU
Kama kweli hizo maiti ziliteketezwa kwenye tanuru la sementi badala ya kuwapa ndugu wawazike wapendwa wao, hili ni jambo la kinyama sana. Haijawahi kutokea ktk historia ya nchi hii. Sijawahi kushuhudia uovu wa kiwango hiki aslani. Ikiwa majivu ya miili iliyoteketezwa yanaweza kupatikana, nashauri ndugu wapewe wakazike.
Majivu yalichanganywa na simenti kwani haikua rahisi kulisafisha tanuri.
 
Script potofu, nonsense na za kizushi kama hizi hudhalilisha wazazi wa watu, familia na ukoo mzima.

maskini mzazi wa watu kabebwa ufala kifikra na pengine kapewa elfu5 tu ajidhalilishe hivyo na kudhalilisha wanawe.

umaskini ni kitu mbaya sana aise
Ukweli ni upo mzalendo mwenzetu?
 
1789034959507.png
Hii adhana ulikuwa unaitoa msikiti gani?
 
Wewe sio mzima au sio binadamu kamili. Una matatizo makubwa mkuu.
ndugu mzima,
mbona unaonyesha mihemko tu ambayo ina ashiria pasinashaka yoyote kua ndia hasa mwenye changamoto? :1Head:
 
Back
Top Bottom