Bibie Hajar, umeolewa?

Guys nipo kitandani sijaamka najisikia kwenda restroom ila ni lazima nitoke nje halafu naona uvivu kuamka now nawaza nifanye mishe gani hapa mjini zinitoshe mahitaji yooooote halafu nipange self contained.
 
Mukiamka na pombe mnakuja kutafuta wake za watu kuwaanzishia nyuzi. Mniache na mke wangu Hajar.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]nimetukana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha tu!

Kuna kipindi nilizidiwa nilikua kama mwehu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Wakati mwingine usipate tabu, nipo kwa ajili yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…