Paap
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 1,493
- 1,401
Oooohhh!!!
Yeah, karibu[emoji39]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oooohhh!!!
AsanteYeah, karibu[emoji39]
Nimeona ni vyema nimkumbushe mara nyingine tena..Nilikuwa nashangaa ujue Mtani mbona hukurudi huku sasa kumbe umekumbuka ukaja kuongezea neno.
Safi sana Mtani. Hahaaaa.
teh teh teh inauma sana kumkosa Hajar.Hahahaaa. Lol.
Kabisaaaaaaa.
Mmmh! haya Mrs TeeIla aliuliza tu Mtani hakuweka wazi lengo. Hivyo hawezi kuumia kabisa.
Hahahaaaa
Hahahaaa. Lol.
Ana mwenyewe huyo Mtani usitake nipewe za uso.
Maskini Tee Bag, Hajar mbona unamtesa mtoto wa mwanamke mwenzio?Hahahaaa. Wacha weee.
Unataka kuniuza Mtani. Mie siwezagi kutest ujue. Hahahaaaaa.
Mtani ujue nimekutafuta sana, kumbe umejificha kwenye ID hii.Nilikuwa nashangaa ujue Mtani mbona hukurudi huku sasa kumbe umekumbuka ukaja kuongezea neno.
Safi sana Mtani. Hahaaaa.