Bibie Hajar, umeolewa?

Nilikuwa nashangaa ujue Mtani mbona hukurudi huku sasa kumbe umekumbuka ukaja kuongezea neno.

Safi sana Mtani. Hahaaaa.
Nimeona ni vyema nimkumbushe mara nyingine tena..
 
Nilikuwa nashangaa ujue Mtani mbona hukurudi huku sasa kumbe umekumbuka ukaja kuongezea neno.

Safi sana Mtani. Hahaaaa.
Mtani ujue nimekutafuta sana, kumbe umejificha kwenye ID hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…