Bibilia inasema "wanaume wote ni waongo"

Nilishangaa kusoma pile andiko..Mungu ni kama mwanamke Malaya, Ukimpa kipande cha mkate,unaenda kulala nae..
 
Zaburi 116:11
[11]Mimi nalisema kwa haraka yangu,
Wanadamu wote ni waongo.
I said in my haste, All men are liars. Hivyo neno men hapi limetumika kurejerea wanadamu wote. Na wanawake wanaongoza kwa uongo
 
Utakuwa umetafasri ndivyo sivyo. Biblia Inasema "men" ikimaanisha "wanadamu". Huo mstari uliouchagua Kiswahili chake kinasema "Mimi nalisema kwa haraka yangu, wanadamu wote ni waongo"
 
Kuitafsiri Biblia haiitaji uwe umekula umeshiba tu . Unahitaji Muongozo wa usaidizi wa yule Roho
 
Akasome na Mika 7:5 kuongezea jambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…