Bibilia inasema "wanaume wote ni waongo"

Bibilia inasema "wanaume wote ni waongo"

Nilishangaa kusoma pile andiko..Mungu ni kama mwanamke Malaya, Ukimpa kipande cha mkate,unaenda kulala nae..
 
Tuishi nao kwa akili hawa viumbe ni waongo. Kati ya maneno kumi wanayoongea neno la ukweli ni moja tu au yote yanaweza kua ya uongo. Bibilia yenyewe imewanyooshea mikono inasema wazi wazi kua wanaume wote ni waongo.

Miongoni mwa mistari hiyo ni Psalms 116:11 na Romans 3:4
View attachment 3116593View attachment 3116595View attachment 3116596
Zaburi 116:11
[11]Mimi nalisema kwa haraka yangu,
Wanadamu wote ni waongo.
I said in my haste, All men are liars. Hivyo neno men hapi limetumika kurejerea wanadamu wote. Na wanawake wanaongoza kwa uongo
 
Tuishi nao kwa akili hawa viumbe ni waongo. Kati ya maneno kumi wanayoongea neno la ukweli ni moja tu au yote yanaweza kua ya uongo. Bibilia yenyewe imewanyooshea mikono inasema wazi wazi kua wanaume wote ni waongo.

Miongoni mwa mistari hiyo ni Psalms 116:11 na Romans 3:4
View attachment 3116593View attachment 3116595View attachment 3116596
Utakuwa umetafasri ndivyo sivyo. Biblia Inasema "men" ikimaanisha "wanadamu". Huo mstari uliouchagua Kiswahili chake kinasema "Mimi nalisema kwa haraka yangu, wanadamu wote ni waongo"
 
Kuitafsiri Biblia haiitaji uwe umekula umeshiba tu . Unahitaji Muongozo wa usaidizi wa yule Roho
 
"Men" inatumika mara nyingi kama jumuisho la wanadamu wote.

Sio vibaya ukasoma kuhusu utapeli wa wanawake pia:
Akasome na Mika 7:5 kuongezea jambo
 
Back
Top Bottom