Bible Error: Mwanzo 1:1-3a Kosa kubwa la Milenia, kutafsiri kutoka kwenye lugha ya Kiebrania

Hoja iliyopo menzani ni Bible Error: Mwanzo 1:1-3a Kosa kubwa la Milenia, kutafsiri kutoka kwenye lugha ya Kiebrania

Maelezo mengine hayana impact yoyote kama umeenda nje ya mada. Je, unaweza kujadili mada?
 
Oh!! kumbe najiona 🤣 🤣 🤣 🤣 Nilikuwa sijui.
Maelezo yote hayo ya nini? Mimi nimekuwekea Origin version na ile iliyotafsiriwa zinatofautiana sana.
Kwenye Bible inaanza In the beginning God created the heavens and the earth.

But tafsiri sahihi toka kwenye Hebrew kuja kwenye English kutoka direct kwenye Torah ni.
When God began to create heaven and earth—

Huu ndio mjadala wenyewe.

Karibu sasa tujadili
 
Kuielewa dini, fuata huu mtiririko

Animism - polytheism - monotheism na agano la kale liliandikwa Kwa kufuata huo utamaduni, changamoto inayopelekea watu kushindwa kuielewa bibilia ni pale wanapoamua kuuvaa ukristu na kusoma bibilia kama kitabu kitakatifu,

Bibilia sio kitabu kitakatifu, ni makosa na uongo wa kikristu wa kutaka kueneza injili ya yesu aliye hai ndio ulitufikisha kwenye huo utakatifu, ndio maana Kila kilichoandikwa ndani kinapoteza maana na kuonekana kama uongo,

Kuhusu hio issue ya Miungu, mbona ipo wazi kwamba kabla ya Mungu mmoja, Ibada ya nyuma ilikuwa ni ya Mungu zaidi ya mmoja(polytheism), refer the Iliad and Odyssey by Homer,
 
Kwanini wakatoliki mnapenda kutumia neno Kristu badala ya Kristo
 
The grammatical understanding of Genesis 1:1 is simple, and the most fundamental principle for learning any language is to follow the ease of grammar.


Let's look at the verses:


Gen 1:1 In the beginning God created the heaven and the earth.

Gen 1:2 And the earth was without form, and void; and darkness was upon the face of the deep. And the Spirit of God moved upon the face of the waters.

Gen 1:3 And God said, 'Let there be light': and there was light.


Now this is this is the interpretation of some Trinitarians about it. They claim3 personalities of God are mentioned:


In Gen1:1 God the Father is mentioned.
In Gen1:2 God the Spirit is mentioned.
In Gen1:3 God the Word is mentioned.

Now here are the difficulties about their interpretation:


1) Verse Gen 1:2 is one of the translations, not the only one! In the Samaritan bible, the term "the wind of God" is used in place of "the spirit ofGod"! And if you were sincere you would realize that the "wind of God" or“breath of God” is a more correct translation of the Hebrew word"ruach"!

Everyone knows that Genesis is about creation, and is about the heavens and the earth being created and this involves earth, water and winds more than it would involve "spirit"! Why would Genesis say "in the beginning God.."? If trinitarians try to force this interpretation they have to accept those verses say God has a beginning instead of Creation has a beginning. Is God not supposed to be eternal?


2) Another fallacy is made by telling that Gen 1:3 is indicative of the word of God(Jesus?)! Where does it say so?

If you read the verse with an open mind you will see this is a clear interpolation. It says "Then God said, "Let there be light"; and there was light." Why would they translate the words "God said" into "word"?! It does not say so in the Hebrew nor in the English translation, does it?


Compare with Gen 1:1 He created the heaven and the earth without mentioning His word..would they agree then that His word didn't exist then?

Or did He create without His word in Gen 1:1?

The only clear thing that this verse shows is that God and His word are undevidable and surely this refutes the Trinitarian view of distinct persons in a trinity.
 

HII DOCUMENTARY YA BBC INAELEZA MENGI


View: https://youtu.be/OnNBLLcN-fY?t=349
 


UNAONGELEA BIBLIA IPI ???

Satanic bible ?? Gay bible, Mormon bible , RSV. AV. NWT, KJV , QJV, au maelfu ya biblia yaliyo tofauti ??
 
Historia ya in the beginning inaongelea beginning ya ulimwengu tu yaani planet earth na hizo sayari zingine zinazoonekana angani kwa darubini au satellite

Haiongelei beginning ya ukimwengu usioonekana kwa satellite au darubini
Huko kuna vitabu vyake vya in the beginning huko ukija kufa ukajaliwa kufika huko utakutana na hivyo vitabu Sababu hata kitabu cha Biblia cha ufunuo kinaeleza wazi kuwa siku ya kiyama kuna vitabu kule vipo ambavyo vinarekodi maisha ya kila mtu ya kila siku ya mema na mabaya ili siku ya kiyama kitabu chake kikitolewa maktaba ahukumiwe kwa haki wapi aende

Bible ni kitabu kinachongelea in the begging ya Universe tu usichanganye vitabu
 


Tatizo hao walioandika hivyo vitabu hawajulikani yaani ni anonimous kama biblia hii ilivyoandika


From the NIV Bible Commentary [1], page 2



The Book of Genesis:



"Historically, Jews and Christians alike have held that Moses was the author/compiler of the first five books of the OT. These books, known also as the Pentateuch (meaning "five-volumed book"), were referred to in Jewish tradition as the five fifths of the law (of Moses). The Bible itself suggests Mosaic authorship of Genesis, since Ac 15:1 refers to circumcision as "the custom taught by Moses," an allusion of Ge 17. However, a certain amount of later editorial updating does appear to be indicated (see, e.g., notes on 14:14; 36:31; 47:11).

(From the NIV Bible Commentary [1], page 2)"


So in reality, the book of Genesis had been tampered with by man.

It had been corrupted. It is dangerous to consider all of it as the True Living Words of GOD Almighty, because by doing so, we are running into the risk of committing a crime against Him since we are claiming that He spoke words that He never spoke.
 


Codex Vaticanus Graece:


"Fool and knave, can't you leave the old reading alone and not alter it
?" [1]





SOURCE:
Codex Vaticanus Graece 1209, B/03, A critical note. Dr. Wieland Willker, University of Bremen. Retrieved on 2008-02-12.
https://orthodoxwiki.org/Codex_Vaticanus



Click to enlarge:








This is a note that exists in one of the Bible's paparys! It's a note of demanding to not alter the text after apparently having terrible experiences with this problem [1].​
 
Changamoto hizo hizo za tafsiri inasemekana ndio imepelekea kuaminika kwamba kwenye (Mathayo 19:24) hapa chini 👇

24-Again I tell you, it is easier for a camel to go through the eye of a needle than for someone who is rich to enter the kingdom of God.”

Ni kwamba kwa kiibrania neno Camel na Thread zinafanana na ndio maana tafsiri ya kigiriki ikaandika Camel badala ya Thread ambayo ndio imo kwenye biblia ya kiibrania na waingereza wakanakili hivyo hivyo kama wagiriki walivyotafsiri.
 
DR Mambo Jambo tunaomba mchango wako mkuu.
Asante Sana Mjuni kwa Kunitag soon ntatoa Neno kuhusu Andiko hilo la Bereshit bara Elohim..

Kwa Upana zaidi japo nimeona Wengi wamemwijia Juu Mtoa Mada but Its actually Somehow yuko Correct but Nitakuja Kuelezea Pamoja Na TANAKH na hata maneno aliyotamka Yesu msalabani, Wengi wakristo, Waislamu Na Wayahudi Tunafikiri Tunaabudu Monotheism..
But Actually sio Monotheism ni Kitu kinaitwa Monolatry.. ..
Na wengine Huenda Mbali zaidi na Kuabudu Henotheism, or kathenotheism..

Nitakuja kama Dakila 45 Hivi kuna Kijikazi nakimalizia hapa..

CC: Venus Star
 
Henotheism, or kathenotheism.. nimeipenda zaidi.
 
Asante sana mkuu, tunasubiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…