Bible Error: Mwanzo 1:1-3a Kosa kubwa la Milenia, kutafsiri kutoka kwenye lugha ya Kiebrania

Elohim sio miungu
Elohim na aishie milele
 
Achana na hadithi zisizo na kichwa wala miguu.

Biblia ni hadithi za kutungwa sawa na Hekaya za Abunuwasi au masimulizi ya Alfu Lela ulela.View attachment 3042531
Mungu haelezeki kwa akili za kibinadamu hivyo.

Mungu anahasira pia Mungu hana hasira.
Mungu ni mpole na pia sio mpole.
Hamna aliemuona Mungu pia yupo aliemuona
Sharti la kumuona ni lazima ufe unapomuona tu
Ezekiel,yohana,daniel wote walikufa walipomuona .
 
Kama Mungu haelezeki kwa akili za kibinadamu,

Wewe unavyo mwelezea huyo Mungu kwamba ana hasira pia hana hasira, Ni mpole na pia sio mpole,
Unatumia Akili gani ambayo sio ya kibinadamu?

Au wewe sio binadamu?
 
Asante sana mkuu, tunasubiri.
Robertson Davies (1913-1995), Mwandishi Mmoja wa Novel kutoka Canada aliwahi kusema..

"The Eyes See What the Mind have Decided To see" au kwa Lugha nyepesi "The eyes Only see what the Mind Wants.."

nilitaka Kusema Nini ni kuwa Kuna Tafsiri za Aina Mbili Kuna Translation na Kuna Interpretation..

Tukumbuke kwamba interpretation hutegemea na Ubora wa Translation....

Hapo ndo Wenzetu walitushinda kabisa na Ndo ukweli wote upo Hapo..

Waliotafasiri Biblia Waliitranslate kwa namna wao wanavyoona Iwe sawa ila sio kwa namna ya Usahihi wake..Walijua kama Wataharibu Translation basi wataharibu pia interpretation za watu..

Sasa twende kwenye Fungu (Aya Tajwa)..
Ambayo ni Mwanzo/Bereshit 1:1-3

Screenshot_20240721_202312_Adobe Acrobat.jpg

Nitaanza na Aya ya kwanza..ambayo ndo wengi mnaiongelea

בְּרֵאשִׁית בָּרָא אֱלֹהִים אֵת הַשָּׁמַיִם

Bereshit bara Elohim et hashamayim..

Sasa Mimi Nitaanza kuchambua kwanza Neno ambalo wengi Wanajiaminisha kama ni "Hapo Mwanzo" Yaani Neno Bereshit בְּרֵאשִׁית..

Ni muunganiko wa Maneno yaani "בְּ" (be-), inayomaanisha "in," yaani ni preposotion kwa hiyo inaweza kumaanisha "Kwa","Hapo",au "Kutumia" na "רֵאשִׁית" (reshit), ina maana nyingi sana Katika zote kuna Mwanzo, Kwanza, Chief (Ukuu au Mkuu), Principality (Misingi),Chenye umuhimu (Importance) na maana zingine nyingi..

sasa Nifatilize kabla sijaenda kwenye maneno mengine niweke neno Moja Moja uone Maana Nzima itapobadilika..

Maana ya kwanza Bereshit kama Kwa UKUU Au Kupitia kwa Mkuu

Neno רֵאשִׁית" (reshit) limetumika Mara nyingi kwenye Biblia Kama Mkuu au chief nitatoa Fungu moja kwa ajili ya Mfano..

Amosi 6:1

הוֹי הַשַּׁאֲנַנִּים בְּצִיּוֹן וְהַבֹּטְחִים בְּהַר שֹׁמְרוֹן נְקֻבֵי רֵאשִׁית הַגּוֹיִם וּבָאוּ לָהֶם בֵּית יִשְׂרָאֵל׃

Inatamkwa hivi..

Hoy ha-sha'ananim b'Tzion v'ha-botchim b'har Shomron n'kubei reshit ha-goyim u'va'u lahem beit Yisrael.

Kwa English

Woe to them that are at ease in Zion, and trust in the mountain of Samaria, which are named chief of the nations, to whom the house of Israel came!

Kwa kishwahili..

Ole wao wanaostarehe katika Sayuni, na hao wanaokaa salama katika mlima wa Samaria, watu mashuhuri wa taifa lililo kuu, ambao nyumba ya Israeli huwaendea.

sasa Tutumia maana Hiyo kutafasiri Bereshit..

Itakuwa Hivi Bereshit Bara Elohim..

Tafsiri ya kwanza " Kwa ukuu Mungu aliumba...., Tafsiri ya Pili "Kwa Nguvu Mungu aliumba..".
Na wala sio Tena Hapo mwanzo..

Maana ya pili ni Kitu chema Au Bora yaani Wema au Ubora "Principality"

kupitia Mithali 4:7 Au Provebs 4:7
Tunapata maana ya Reshit nyingine..

Provebs 4:7

"Wisdom is the principal thing; therefore get wisdom: and with all thy getting get understanding."

in Hebrew..

רֵאשִׁית חָכְמָה קְנֵה חָכְמָה וּבְכָל קִנְיָנְךָ קְנֵה בִינָה

Inatamkwa...

"Reishit chokhmah k'nei chokhmah; uv'khol kinyanecha k'nei vinah"

So Maana Ya Hapo ni kuwa Reshit ni Principal..

so tukirudi Kwenye Tafsiri Ya bereshit bara Elohim..
Tungesema "in principality God Created.... Yaani "Kutumia Kanuni Mungu aliumba" na sio Hapo mwanzo..

Maana ya ziko nyingi niishie Hapo kwa leo..

Twende kwenye Elohim..
Elohim Ni Neno lililopo kwenye Wingi..
YAANI Miungo na sio Mungu kwa umoja..

Umoja wa Mungu Ni Eloha (Mungu Mke) na Elohi (Mungu Mume)..

Na unaweza ukaona hata kwenye Biblia pia Yametumika kwa Muktadha wa kutafsiri baada ya Mungu mmoja

Hata Yesu alipokuwa Msalabani alilia Eloh Eloh (Umoja wa Elohim) kwahyo Eloh ni Umoja wa Mungu (Kiume)...

SASA TWENDE kwa facts wengine wanaweza kusema Biblia Imetaja Mungu na miungu kwa kutofautisha....

hapana Mahali Biblia Ilipotaja Mungu imetaja Elohimu na Mahali ilipotaja Miungu Pia imetaja neno moja hilo hilo Elohimu (Umechanganyikiwa eeh) "the Eyes Only see what the minds Allowed to see"

Swali la kujiuliza Ni nani alichagua Kuwa Elohimu Hii iitwe Mungu na Elohimu hii Iitwe Miungu???

Lets see Moja..

Psalm 82:6

אָֽמַרְתִּי אֱלֹהִים אַתֶּם וּבְנֵי עֶלְיוֹן כֻּלְּכֶם..

Inatamkwa..

Amarti Elohim atem u'venei Elyon kulkhem..

Tafsiri waliotutafsiria Kwenye Biblia zetu za Kiswahili na Kingereza...

"Mimi nimesema, Ndinyi miungu,
Na wana wa Aliye juu, nyote pia."

"I have said, Ye are gods; and all of you are children of the most High."

kwahyo Unaweza Kutumia Akili ya Kuzaliwa kujua kuwa Kuna Tatizo kubwa la kitafsiri....

Kama kuna swali nipo tayari kulijibu na pia I stand to be corrected ..

CC: Venus Star
 
View attachment 3048156

Asante sana sana. Umeeleza vyema. Wakati nasoma comment yako mwili wangu ulikuwa unasisimka. Na nikasema Yes this is GT.

Unaweza ukaendelea zaidi ili watu wengi waweze kujifunza.
 
Ndio maana nilimuita. Huyu ana Phd ya Teolojia. Narudia tena kusoma alichiandika kisha nitauliza swali.
 
Mimi ni mkristo nimelelewa katika ukristo tangu nikiwa mdogo.

Mwanzo tu wa biblia katika kitabu cha mwanzo 1:1-3a kunakuwa na makosa makubwa ambayo yamedumu karne na karne. Haya yalitokana na kutafsiri moja kwa moja lugha ya kiebrania kwenda kwenye Lugha ya Kigriki na hatimaye lugha ya kingereza.

Inasomeka
1. In the beginning God created the heavens and the earth.
2. Now the earth was formless and empty, darkness was over the surface of the deep, and the Spirit of God was hovering over the waters.
3. And God said, "Let there be light," and there was light.

Kutoka kwenye origin (Hebrew)
1. Bereshit bara Elohim et hashamayim ve'et ha'aretz,

Maelezo Kwenye mstari wa kwanza

Kwenye kiebrania tunaona hapo anaongelea Elohim neno elohim ni wingi. Yaani Miungu. maana yake hapo anaongelea miungu na wala siyo Mungu mmoja. Umoja wa neno Elohim ni Eloah

Hapo tayari kunakuwa na mkanganyiko mwanzoni tu.

Maelezo zaidi
Katika hiyo 1:1-3a inasomwa yote kwa pamoja. Lakini yule aliyekuwa anatafsiri aliigawanya na kisha akahatibu maana nzima ya maelezo.

Kwenya hebrew bible haiongelei kuhusu the beginning of creation.

Bali inaelezea kuwa wakati Miungu walipokuwa wakiumba dunia dunia ilikuwa ukiwa.

Inaweza kusomeka:-
1 When Gods began to create heaven and earth—2 the earth being unformed and void, with darkness over the surface of the deep and a wind from Gods sweeping over the water—3a Gods said, ‘Let there be light

Hii hapa juu ndiyo tafsiri sahihi ya kitabu cha mwanzo kabisa.

Nitaendelea kuchanganua zaidi.

Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa
yumkini tuanze na swali; Waebrania ni watu gani...kwa sababu ukijua hostoria yao ndio mwanzo wa kujua chanzo cha mkanganyiko
 
My God! Umesoma biblical exegesis au hermeneutics kweli? Kwenye uandishi wa Biblia kuna matumizi ya lugha ya heshima kwa Mungu (majestic language) - 'kutumia wingi mahali pa umoja', na wala siyo makosa ya uandishi. Hata katika lugha kama Kifaransa kuna matumizi ya lugha kama hiyo. Mfano, ukimwongelea mzazi au mtu official unatumia neno 'vous' = 'nyinyi'. Mfano, "comment allez-vous": How are you? Lakini kama agemate, colleague, rafiki, utasema: "comment ca va"?: How are you? Kwenye lugha kama Chichewa, kumu'address' mzazi, mtu official au kumsalimia utasema: 'Ali bwanji'...? Sawa na kusema "Hamjambo"? Lakini kumu'address' agemate, rafiki, rafiki etc: utasema: 'mulibwanji'...? 'Ali bwanji' ni wingi wa 'muli bwanji'. Ukitumia 'ali bwanji' kwa mtu mmoja, Ina maana umetumia 'majestic language'...umeonyesha heshima kwa mtu unayemsalimia. Wakati ukitumia 'muli bwanji' kama ni mtu mkubwa kwa cheo au umri atajisikia kwamba umempa salamu ya kawaida/umemdharau. Style ya uandishi wa Kitabu cha Mwanzo, inafuata tradition hii ya majestic language, lakini siyo kosa la kiuandishi, bali style ya uandishi.
umetisha mkuu
asante kwa elimu uliyo nayo
 
Mimi ni mkristo nimelelewa katika ukristo tangu nikiwa mdogo.

Mwanzo tu wa biblia katika kitabu cha mwanzo 1:1-3a kunakuwa na makosa makubwa ambayo yamedumu karne na karne. Haya yalitokana na kutafsiri moja kwa moja lugha ya kiebrania kwenda kwenye Lugha ya Kigriki na hatimaye lugha ya kingereza.

Inasomeka
1. In the beginning God created the heavens and the earth.
2. Now the earth was formless and empty, darkness was over the surface of the deep, and the Spirit of God was hovering over the waters.
3. And God said, "Let there be light," and there was light.

Kutoka kwenye origin (Hebrew)
1. Bereshit bara Elohim et hashamayim ve'et ha'aretz,

Maelezo Kwenye mstari wa kwanza

Kwenye kiebrania tunaona hapo anaongelea Elohim neno elohim ni wingi. Yaani Miungu. maana yake hapo anaongelea miungu na wala siyo Mungu mmoja. Umoja wa neno Elohim ni Eloah

Hapo tayari kunakuwa na mkanganyiko mwanzoni tu.

Maelezo zaidi
Katika hiyo 1:1-3a inasomwa yote kwa pamoja. Lakini yule aliyekuwa anatafsiri aliigawanya na kisha akahatibu maana nzima ya maelezo.

Kwenya hebrew bible haiongelei kuhusu the beginning of creation.

Bali inaelezea kuwa wakati Miungu walipokuwa wakiumba dunia dunia ilikuwa ukiwa.

Inaweza kusomeka:-
1 When Gods began to create heaven and earth—2 the earth being unformed and void, with darkness over the surface of the deep and a wind from Gods sweeping over the water—3a Gods said, ‘Let there be light

Hii hapa juu ndiyo tafsiri sahihi ya kitabu cha mwanzo kabisa.

Nitaendelea kuchanganua zaidi.

Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa
Yesu alisema yeye na baba ni Wamoja
 
Achana na hadithi zisizo na kichwa wala miguu.

Biblia ni hadithi za kutungwa sawa na Hekaya za Abunuwasi au masimulizi ya Alfu Lela ulela.View attachment 3042531
We mtu kama umetumwa kumpinga Mungu basi aliyekutuma anakulipa vizuri maana kila uzi wenye neno Mungu wewe unaenda kinyume na kushawishi watu waachane na Mungu,
Kwanini usiache mtu aone hiki ni sahihi na hiki sio sahihi lakini sio wewe kuweka shinikizo
 
Mleta mada Biblia ya Kiyahudi yaani Hebrew Bible tunazo na Hebrew Bible waliyoitafsiri wayahudi wenyewe kwa ajili ya matumzi yao iipo Inaongelea God created not Gods. Sasa wewe unajua tafsiri ya kiebrania kwenda kiingereza kuliko wao?

Pili dini ya kiyahudi ni waamini Mungu mmoja tu sio miungu na ndio maana hata kwenye amri kumi za Mungu alizopewa Musa inatamka wazi kuwa usiwe na miungu mingine ila mimi tu

Hilo uliloandika linapingana kabisa na imani ya dini ya kiyahudi inayoamini Mungu mmoja tu muumba mbingu na nchi na ndio maana huo mstari wa Mwanzo 1 : 1 ulitafsiriwa hivyo kuwa hapo mwanzo Mungu aliumba Mbingu na Nchi sawa na imani ya dini ya kiyahudi wenye agano la kale wanachoamini

Hilo ulilooandika haliko consistent na imani ya dini ya kiyahudi na Biblia yao ya kiyahudi inayoamin Mungu mmoja tu

Wayahudi wanaamini Mungu mmoja hakuna namna hapo wangeweka Miungu waliumba mbingu na nchi ni uongo hilo lako ni mafundisho ya kukoteza majalalani no fundisho la mashetani

Uko sahihi kabisa, kwa maana hata kitabu cha Kumbukumbu la Torati 6:4 inataja kwamba Mungu ni mmoja.
 
We mtu kama umetumwa kumpinga Mungu basi aliyekutuma anakulipa vizuri maana kila uzi wenye neno Mungu wewe unaenda kinyume na kushawishi watu waachane na Mungu,
Kwanini usiache mtu aone hiki ni sahihi na hiki sio sahihi lakini sio wewe kuweka shinikizo
Kwa nini uhangaike kumuongelea huyo Mungu na kumpigania?

Huyo Mungu kama yupo ajitokeze mwenyewe hadharani ajidhihirishe na ajitetee mwenyewe.

Mnahangaika sana kumwelezea na kumuongelea huyo Mungu, Kwa vile hajawahi kuwepo na hayupo kujiongelea mwenyewe na kujidhihirisha mwenyewe yeye kama yeye.
 
Mwanzo 1:1-3a kuna mafunzo mengi zaidi kuliko ulivyojielewesha.

Kwanza hapo ukisoma vizuri utaelewa kuwa Mungu aliumba Mbingu na nchi.

Dunia iliumbwa kwanza, ikakaliwa na viumbe vilivyoikalia, vikaiharibu weeeh, mpaka, ikaharibika.

Then baadae hadi unapokuja kusoma roho wa Mungu alikaa juu ya maji, ni kuwa dunia ilishaharibika teyari.

Kauli ya kusema na iwe nuru, ni sawa na kusema, Mungu aliamua kuifanya dunia kwa upya tena...na ikawa nuru.

So, mpaka hapo, dunia ilishaumbwa na ikaishi, na kukaliwa na walioikaa, ila kwa kua walizingua Mungu akaghairi kwa walioiharibu.

Na kwenye database ya Mungu, ukizingua, unaondolewa hadi taarifa zako zote.

So, biblia ni kitabu kitakatifu kwa sababu kimeandika taarifa ambazo zina ukamilifu wa Mungu pekee na utukufu wake, na si wa kiumbe mwingine yeyote.

So, hao viumbe wengine taarifa zao hautoziona kwenye biblia kamwe coz, hazitokaa ziwepo, hata kama kwenye encounter ukaja kuzisikia au kuziona.

So, kwa kuhitimisha, kwenye biblia HAKUNA MAKOSA NA HAITOKAA ITOKEE MILELE.

Tafsiri za sisi wanadamu ndio labda zikosee (na sanasana tunakuwaga na maakili yanayoongozwa na maroho ya kumpinga Mungu, ndio maana tuna reason hadi kazi ya Mungu mwenyewe, aliyekuwepo milele na hata milele.)
 
Achana na hadithi zisizo na kichwa wala miguu.

Biblia ni hadithi za kutungwa sawa na Hekaya za Abunuwasi au masimulizi ya Alfu Lela ulela.View attachment 3042531
Kama hizi aya mbili za kqanza ni Uongo siendelei
Mw32:20 haina hicho kituumesema wala Heb 14:14 haina kuoneka kwa Mungu isipokuwa wingu na moto. Basi the whole storyni Uongo mtupu
 
Back
Top Bottom