Big L
JF-Expert Member
- Nov 21, 2022
- 502
- 820
- Thread starter
- #41
Upo timamu kweli?
Huoni tofauti kati ya hayo maneno mawili?
Hayo majina hapo yanafanana?
Unaniuliza tena na mimi?
Anyways ngoja basi nikujuze Ndugu. Biblia na kitabu cha TIE vyote vimepitia mtiririko unaofanana yaani kuandikwa, kupitiwa, kuchapwa n.k.
Vyote vimeandikwa na watu tofauti ni kwamba Biblia imeandikwa kutokana na historia za huko uyahudi ikielezea tamaduni za kiyahudi.
Biblia ina contradictions tena nyingi mno lakini TIE hakina contradictions bali makosa ya uandishi tu labda maneno n.k lakini kimantiki huwezi kuta makosa hayo kama ilivyo kwenye Biblia inayosema ni takatifu.
Biblia imeandikwa kwa miaka mingi sana kivipi iwe na contradictions lakini kitabu cha TIE ambacho kinachukua muda mfupi mpaka kutolewa kisiwe na makosa kama hayo( contradictions) huoni kama Biblia ni kitu cha kutungwa?
Tuna version ngapi za Biblia mpaka sasa na mbona kuna vitabu vimetolewa na ni kwa sababu gani ?huu ni utapeli.
Biblia inaku limit usifikiri lakini TIE haifanyi hivyo.