Bible is Just a Story Book

Bible is Just a Story Book

Upo timamu kweli?
Huoni tofauti kati ya hayo maneno mawili?
Hayo majina hapo yanafanana?

Unaniuliza tena na mimi?

Anyways ngoja basi nikujuze Ndugu. Biblia na kitabu cha TIE vyote vimepitia mtiririko unaofanana yaani kuandikwa, kupitiwa, kuchapwa n.k.

Vyote vimeandikwa na watu tofauti ni kwamba Biblia imeandikwa kutokana na historia za huko uyahudi ikielezea tamaduni za kiyahudi.

Biblia ina contradictions tena nyingi mno lakini TIE hakina contradictions bali makosa ya uandishi tu labda maneno n.k lakini kimantiki huwezi kuta makosa hayo kama ilivyo kwenye Biblia inayosema ni takatifu.

Biblia imeandikwa kwa miaka mingi sana kivipi iwe na contradictions lakini kitabu cha TIE ambacho kinachukua muda mfupi mpaka kutolewa kisiwe na makosa kama hayo( contradictions) huoni kama Biblia ni kitu cha kutungwa?

Tuna version ngapi za Biblia mpaka sasa na mbona kuna vitabu vimetolewa na ni kwa sababu gani ?huu ni utapeli.

Biblia inaku limit usifikiri lakini TIE haifanyi hivyo.
 
Positive power kwako wewe una tafsiri vipi maana yake?
Nguvu ya kutokeza,kufanyiza mambo makubwa ktk nyanya zote iwe tiba,uponyaji,falsafa,mafundisho ya ndoa,maisha,afya,nk
 
You’re just roaming on my point. Indoctrination plus your mind have made you think in that way but the book itself is not divine.
i'm not roaming on your point, indeed, the bible is the word of God and there is much to find about this topic in scripture. Additionally Jesus Christ is often called the word of God, therefore, the bible itself reveals philosophically how is a word of God.
 
Unaniuliza tena na mimi?

Anyways ngoja basi nikujuze Ndugu. Biblia na kitabu cha TIE vyote vimepitia mtiririko unaofanana yaani kuandikwa, kupitiwa, kuchapwa n.k.

Vyote vimeandikwa na watu tofauti ni kwamba Biblia imeandikwa kutokana na historia za huko uyahudi ikielezea tamaduni za kiyahudi.

Biblia ina contradictions tena nyingi mno lakini TIE hakina contradictions bali makosa ya uandishi tu labda maneno n.k lakini kimantiki huwezi kuta makosa hayo kama ilivyo kwenye Biblia inayosema ni takatifu.

Biblia imeandikwa kwa miaka mingi sana kivipi iwe na contradictions lakini kitabu cha TIE ambacho kinachukua muda mfupi mpaka kutolewa kisiwe na makosa kama hayo( contradictions) huoni kama Biblia ni kitu cha kutungwa?

Tuna version ngapi za Biblia mpaka sasa na mbona kuna vitabu vimetolewa na ni kwa sababu gani ?huu ni utapeli.

Biblia inaku limit usifikiri lakini TIE haifanyi hivyo.
Bible inaweza kuwa na version nyingi lakini content ni ile ile.
Sasa ulitaka kwa mfano Biblia iliyotafsiriwa kwa kiswahili Cha watu WA Mvita Mombasa lugha yake wataielewa watu wa Kivu Congo Wanaotumia kiswahili si wanatoka kapa.
Kutafsiriwa kwa kila lugha Dunia hakumaanishi content ni tofauti.
Biblia ndicho kitabu pekee kilicho tafsiriwa katika lugha zote Dunia hakuna kitabu kingine.
Hivyo vitabu vya sijui fizikia,historia,baiologia vijijini TU ukienda watoto watu hawavijui lakini biblia inajulikana hata na mtu asiyejua kusoma na hii IPO dunia nzima biblia ndicho kitabu kinachoongoza kusomwa sana kwa siku kuliko kitabu chochote duniani.
 
Halafu maswali Yako unayoyachallenge kuhusu bible hakuna mapya ambayo hayana majibu wewe sio wa kwanza watu walichallenge yote lakini Biblia iliyajibu labda kama unalo swali jipya.
Uliza chochote upewe jibu
 
Sio kweli. Bible haijibu maswali yote ila inakufunga kifikra usiweze kuwa na tafakuri zaidi uishi kwenye uzio wake.

Shtuka mwana nakusanua.

Kataa ndoa
Kataa hizi dini kama unazifata not bad kikubwa hazikufundishi mabaya lakini KAA KIJANJA UTAPELI NI MWINGI SANA.

KWENYE ASILI YAKO KUNA MUNGU WAKO WA KWELI. SIO MBAYA KAMA UMEAMUA KUFATA ASILI YA HAO WENYE YESU NA BIBLE YAO NAE ATAKUWA MUNGU WAKO NA ATAKUPONYA.

@
 
"What's in your pockets?
What's in your pockets?
Bitch we think the bible is a comic book"
-Lil Wayne, Holly weezy
 
Ni kweli..Bora afuate asili yake ambayo ni uislam
 
Biblia ni hospital kamili nguvu ya maneno yake yaliyo hai uponya magonjwa yote yatokayo na negative energy aka magonjwa ya kiroho.

Kama Biblia ni tiba na inafanya uponyaji mbona hospital hakuna huo uponyaji?

Huoni huu ni utapeli kwa hoi polloi kama wewe?
 
Halafu maswali Yako unayoyachallenge kuhusu bible hakuna mapya ambayo hayana majibu wewe sio wa kwanza watu walichallenge yote lakini Biblia iliyajibu labda kama unalo swali jipya.
Uliza chochote upewe jibu

Huwezi kutoa majibu kwa sababu hata Biblia yenyewe haikuzungumzii wewe badala yake inaongelea kuhusu historia za wayahudi ambazo wewe umejipa uhusika kwa namna tu ya kufikirika.
 
Bible inaweza kuwa na version nyingi lakini content ni ile ile.
Sasa ulitaka kwa mfano Biblia iliyotafsiriwa kwa kiswahili Cha watu WA Mvita Mombasa lugha yake wataielewa watu wa Kivu Congo Wanaotumia kiswahili si wanatoka kapa.
Kutafsiriwa kwa kila lugha Dunia hakumaanishi content ni tofauti.
Biblia ndicho kitabu pekee kilicho tafsiriwa katika lugha zote Dunia hakuna kitabu kingine.
Hivyo vitabu vya sijui fizikia,historia,baiologia vijijini TU ukienda watoto watu hawavijui lakini biblia inajulikana hata na mtu asiyejua kusoma na hii IPO dunia nzima biblia ndicho kitabu kinachoongoza kusomwa sana kwa siku kuliko kitabu chochote duniani.

Hivi unaelewa ninavyosema kwanini Biblia ina versions nyingi au umejibu tu haraka haraka?

Mimi sijasema kwamba kuna na version nyingi general content inabadilika.

Kwanini baadhi ya vifungu na vitabu vitolewe wakati katika versions za hapo awali vilikuwepo?
 
Pana 72 na 64 muhimu ni vile 64 umewasikia popote vile vya ziada vikiwa na umuhimu au tumiwa kwa mafunzo,mengine ni maisha binafsi hawakuona sababu au uhitaji na sio hivyo 74 TU vipo vingi kuzidi laiti wangeweka vyote kitabu kisingetosha
 
Huwezi kutoa majibu kwa sababu hata Biblia yenyewe haikuzungumzii wewe badala yake inaongelea kuhusu historia za wayahudi ambazo wewe umejipa uhusika kwa namna tu ya kufikirika
Mayahudi hayatumii biblia yana vitabu vyao.
Isingezungumzika Afrika america india nk miaka hio hapakuwepo watu watu wore duniani walisambaa kutokea middle east
 
Kama Biblia ni tiba na inafanya uponyaji mbona hospital hakuna huo uponyaji?

Huoni huu ni utapeli kwa hoi polloi kama wewe?
Hao madktari hospital huo uwezo wa uponyaji elimu wamepewa na Mungu.
Pana aina mbili za magonjwa ya kiroho na ya kimwili.
Ya kiroho uponjwa na maandiko.
 
Sio kweli. Bible haijibu maswali yote ila inakufunga kifikra usiweze kuwa na tafakuri zaidi uishi kwenye uzio wake.

Shtuka mwana nakusanua.

Kataa ndoa
Kataa hizi dini kama unazifata not bad kikubwa hazikufundishi mabaya lakini KAA KIJANJA UTAPELI NI MWINGI SANA.

KWENYE ASILI YAKO KUNA MUNGU WAKO WA KWELI. SIO MBAYA KAMA UMEAMUA KUFATA ASILI YA HAO WENYE YESU NA BIBLE YAO NAE ATAKUWA MUNGU WAKO NA ATAKUPONYA.

@
Huyo mungu wetu wa asili we uoni ni dhaifu sana hata tumeacha kumfuata kama alishindwa kutusaidia tusichukuliwe utumwani,kutawaliwa kutuokoa na umasikini ana faida Gani kwetu
 
"What's in your pockets?
What's in your pockets?
Bitch we think the bible is a comic book"
-Lil Wayne, Holly weezy
wahuni kama wale hata wakiizodoa biblia hatushangai, wale ni wapagani typically
 
Back
Top Bottom