zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
- Thread starter
-
- #21
Kwahyo unacho maanisha bibilia ni mali za watu na sio ya Mungu..!! Hv neno la Mungu linakuwaje na version imekuwa seriesMkuu bible haina copyright ila wachapishaji wa biblia ndio wanaweka copyright kwa version zao.
Mfano New International Version ilikua inachapishwa chini ya Zondervan/Harper-Collins. Hivyo ina copyright/patent chini ya hyo kampuni husika na version husika.
Hta ww leo ukija na tafsiri yako ya Biblia maybe ya Kisukuma unaiwekea copyright kwa version husika na pesa itakuja kwako if at all mtu akitaka kuprint na kuuza.
I hope imekaa sawa
SHALOM! Zitto Jr.
Kwanza Kabisa pongezi kwako kwa Utafiti na uchunguzi wa Maandiko!
Vitabu vya Injili vyote - Four Gospel kwa jina moja vinajulikana kama Synopsis kutokana na Ujumbe zilioubeba unafanana kwa ukaribu sana.
Mathayo - Amejikita katika katika Ukoo wa Yesu.
Luka - ameeleza Maisha ya Yesu kwa Ujumla wake bila Kubakiza.
Marko - inakazia matendo,Uthabiti na Uimara wa Misheni ya Yesu
hasa hasa mwishoni mwa maisha yake.
Yohana - Anamweleza YESU kwa Nafasi ambayo injili zote hazijamueleza kabisa,Yaani Ukuu na Uungu wa YESU,Mamlaka na Nafasi yake Katika Utatu Mtakatifu - Kifupi Inaeleza Mamlaka Makuu ya YESU kama MUNGU.
Nani aliviandika Vitabu haina Maana sana kwangu Mimi niungane na Mchangiaji mwenzangu aliyepita - Kikubwa ni Ujumbe Mahususi uliobebwa hapo.
Hiyo unaoiiita Q Theory ni Nadharia ya Watu wadadisi ambao hauwezi kujibiwa kwa urahisi kiasi hicho - Mtu katengeneza Swali ambalo ni uhakika linatokana na Utofauti wa maneno machache sana ambayo hayapotezi maana ya Msingi (Intellectual arguments).
Mfano :- Mathayo 2:1 inaonyesha Yesu alizaliwa kipindi cha Herode (4 BC) ila Luka 2:2-3 inaonyesha Yesu alizaliwa kipindi cha Governor Quirinius (6 AD). Ila kungetumika source moja tu mfano hyo Q source ingesaidia kuondoa discrepancy zote zilizopo na kuweka msimamo mmoja wa Injili.
JIBU:- YESU alizaliwa Wakati wa Utawala wa WARUMI,Rumi iliitawala Yerusalemu na kuweka Indirect Rule ili kutosababisha Sintofahamu za utofauti wa Mila na Desturi za Wayahudi na Warumi ( HAWACHANGAMANI KABISA NA MATAIFA - GOYIM). Ndio maana wakaruhusu awepo Mtawala anayejua Mambo yao HERODE.
Hivyo kwa mantiki hiyo hakuna Utofauti hapo - Herode alikuwepo na Warumi walikuwepo - Overlapping.
Mwisho - Yapo mambo mengi yenye Utofauti kwa Mfano Kwenye Mathayo 7:7 ... Yesu ametumia mfano wa JIWE na MKATE, kwenye Marko akiyarudia Maneno yale yale ametumia Mfano wa YAI na NGE. - Maneno Tofauti Maana Ile ile.
No big Deal here.
Ikumbukwe hayo yalioandikwa ni machache sana ya yale yaliyotukia katika Maisha ya YESU - Biblia imelisema hili vema kabisa,kuwa iwapo yote yangeliandikwa isingetosha...
Asante .
Mkuu Bible ilikua lugha ya Hebrew/Aramaic so hyo ndio imetumika mashariki ya kati kwa miaka zaidi ya elfu mbili hivi.Kwahyo unacho maanisha bibilia ni mali za watu na sio ya Mungu..!! Hv neno la Mungu linakuwaje na version imekuwa series
Mkuu Bible ilikua lugha ya Hebrew/Aramaic so hyo ndio imetumika mashariki ya kati kwa miaka zaidi ya elfu mbili hivi.
Sasa ukristo kusambaa ukahitaji tafsiri tofauti tofauti ili walau kila jamii iweze kuwa na biblia yake.
Hapo ndipo zikatokea version za utafsiri wa Biblia ila context ni ile ile.
Yes bado ni tafsiri mfano NIV wao wametumia source tofauti kucompile tafsiri ya Biblia hku KJV ikitumia vyanzo tofauti pia ndio maana zinaweza kinzana.Tatizo la bible siyo translation, maana translation kila mtu anatumia umahiri wake kutranslate kadri atakavyoweza. tatizo la bible ni versions ambazo unaweza kukuta version moja verses fulani wameziondoa, unakuta version nyingine verses wanazirudisha etc!
Lakini izo aya azionyeshi kama alijua kusoma na kuandika zinaonyesha akisema maandiko ya vitabu vya kale vimetimiaBwashee Allypipi rejea hao waliokuambia hakujua kusoma waambie wakasome Biblia kitabu cha Luka Sura ya 4 mpaka 21 au 22.
Anzia kusoma Luka 4 mstari wa 16 mpaka mstari wa 21 bwashee kama hujaelewa hapo basi tena. Pia hao waliokuambia hivyo wape wasome pia aya wakutafsirie. Hicho ni kiswahili fasaha kabisa.Lakini izo aya azionyeshi kama alijua kusoma na kuandika zinaonyesha akisema maandiko ya vitabu vya kale vimetimia
Pole sana ndugu yangu. Mungu mwenye Enzi ambaye bina Adamu wote ametupa pumzi akusaidie.Lakini izo aya azionyeshi kama alijua kusoma na kuandika zinaonyesha akisema maandiko ya vitabu vya kale vimetimia
Nashukuru kwa mchango mkuu nmekupata vizuri.Hizi mada huwaga zinajenga mengi na kufungua sana bongo zetu
Big Up
mchango wangu
Wasomi wengi wanakubali uwepo Awa Q source yaani chanzo cha Mathayo na Luka. Ni jambo la kimsingi la nadharia la Injili hizi mbili... kulingana na ambayo Mathayo na Luka waliyachota kutoka kwa Marko , Na nadharia ya chanzo cha Q. inapewa kama suluhisho la msingi kwenye huu utata katika vitabu vingi vya utangulizi.
Walakini, kumekuwa na wakosoaji kila wakati, pamoja na wengine ambao wanapinga misingi yote ya nadharia ya chanzo Q, kipaumbele cha hawa Markan, na Q source, wanasema kwamba Mathayo ndiye Injili ya kwanza, kwamba Luka alitumia Mathayo, na Marko alitumia Injili hizo mbili zao Mathayo na Luka (nadharia ya Griesbach), na wengine ambao wanakubali marko ndiyo wa mwanzo na lakini wanakataa Q source kwa kupendekeza kwamba Luka pia alijua Mathayo (nadharia ya Farrer).
Labda ni salama kusema kwamba wakati Q source inabakia kuwa maarufu kati ya wasomi wengi wa Agano Jipya, kuna idadi kubwa ya wasomi ambao hawaamini juu ya uwepo wa Qsource.
Overlapping inawezekana kabisa Mkuu! UShahidi wa Kihistoria unaonesha kabisa kuwa Quirinius alitawala vipindi zaidi ya kimoja kuna wakati alikuwa mtawala wa Syria kutoka mwaka 1- 4 KK.NB: Uwepo wa Herode na Quirinius hauwezi over lap sababu mmoja alikua amekufa wakati mwingine akiwa ana tawala. Ni historical fact hiyo na ndio maana tarehe za kuzaliwa Yesu ziko contested mpaka leo.
Kama tunaamini neno la Mungu ni uvuvio wa Roho mtakatifu. Na kwa mujibu wa 1 Cor 2:10 Roho mtakatifu anajua kila kitu hata mafumbo ya Mungu. Sasa kma facts ndogo hivo zikinzane je hatuoni itapotosha authority ya Roho mtakatifu?
Hapo kwenye ishara nadhani ni tafsiri tu inaweza changanya ila logically pako sawa kabisa.Nashukuru kwa Mchango wako mkuu lakini ningependa tuweke facts straight!!
1. Si kweli kwamba Q source ina maneno machache tu bali inabeba zaidi ya 42% ya kitabu cha Luke ikimaanisha karibu nusu ya kitabu cha Luka hakina maneno kutoka Marko ambaye ndio alikua chanzo kikuu kwake na Mathayo.
Sasa kma 42% ya maandiko ya kitabu cha injili hayafahamiki source yake je hatuoni ndio chanzo cha ukinzano.
2. Umedai kwamba haitoi context halisi kuna mfano niliweka hapo juu
Yesu alisema kizazi kinasubiri ishara ili kiamini.... Majibu ni haya
Mark 8:12 kizazi hakitapewa ishara
Mat 12:39 hakitapewa ishara, ila ishara ya nabii Yona
Je mkuu kitu kama hiki huoni kinaleta discrepancy..... Na mifano ni mingi sana tena mikubwa kabisa.
Mfano wale wezi pale msalabani kuna wakati tunafundishwa mmoja alimkiri Yesu but Q source na vyanzo vingine vinakinzana.
Mark 23 Inasema Mwizi mmoja alimkiri Yesu huku mwingine akimkejeli
Mathayo 27 inasema Wote wawili walimkejeli Yesu.
Sasa mfano kma huu sio crucial kwenye mafundisho? Haina impact yeyote kwenye kudistort ukweli kwamba Yesu huwa na msamaha kwa watu wote irrespective of their past deeds?
Acha ukilaza versions lazima zibadilike sababu hizo ni tafsiri.Kwahyo unacho maanisha bibilia ni mali za watu na sio ya Mungu..!! Hv neno la Mungu linakuwaje na version imekuwa series
Ww n kondoo usiyeonaAcha ukilaza versions lazima zibadilike sababu hizo ni tafsiri.
Kiswahili cha mwaka 1900 Na cha 2021 ni tofauti Kuna maneno mapya Na maneno mengine yamepoteza maana lugja INA evolve so ukiacha watu watumie version ya kiswahili cha 1900 kwenye mwaka 2021 utawapoteza sababu lugha inabadilika.
Same kwa English kiingereza kimebadilika sana toka enzi za king James ( first version ) hadi queen Elizabeth miaka zaidi ya mia tano lazima u update