Bible Mysteries: Q source iko wapi

Bible Mysteries: Q source iko wapi

Tupe ushahidii wa kibiblia ukionyesha Herodius unayemsema alikuwa ameshakufa wakati sensa inafanyakika. Na alifariki miaka mingapi huko nyuma kabla ya sensa.

Je, uwekaji kumbukumbu kwenye historia kwa kutumia matukio unakiwa uwe exactly? Namaanisha kuweka tarehe kwa kutumia matukio.
Mkuu biblia sio kitabu cha historical facts maana matukio sio yote yaliyorekodiwa.

So historical fact ni kwamba kma Herodius alikua anatawala kipindi Yesu anazaliwa ina maana it had to be 4 BC ila kipengele kingine kinadai Yesu alizaliwa enzi za Ile sensa ya Gavana Qurinius sasa hyu alipewa mamlaka ya kuitawala Judaeah bila uwepo wa liwali/Herodius so naye kihistoria alifanya hyo sensa 6 AD.

Ikimaanisha wote hawawezi kuishi wakati mmoja na hta wangeishi wakati mmoja kufikia hyo sensa cheo cha Herodius kilishafutwa..... Ssa basi nani mkweli hapo juu ya mwaka aliokuja Yesu duniani?

Kuhusu uwekaji tarehe Yes warumi walitunza takwimu sana tu na hta ukitumia radiometric dating bado itakupeleka kwenye hiyo miaka kwa tofauti ya +/-10. So walikua makini kwenye utunzaji taarifa na ndio maana mpka leo unatumia kalenda yao kujua leo ni tarehe ngapi!!

NB Herode alikufa miaka 9 kabla ya sensa ikimaanisha alikufa 3 BC na ndio maana wanahesabu 4 BC sabanu ndio unaweza kuwa miaka yake ya mwisho kutawala kabla ya kifo ama cheo kufutwa
 
Okay, hii ni issue ya calenda sasa, kumbuka Biblia haitumii kalenda iliyotumika kuandika historia unazofanyia reference mkuu.
Issue sio kalenda issue ni hii
Herodius na Quirinius nani alikua anatawala wakati Yesu anazaliwa?

Sensa ilifanyika wakati wa Quirinius tu je kivp herodius alikua hai?

Ssa hayo matukio yana tarehe tofauti haya over lap na ndio swali langu.

Mfano mtu aseme wakati wa utawala wa Rais Mwinyi Volatility alizaliwa...... Alafu kipengele kingine; kipindi cha kuungana ASP na TANU Volatility alizaliwa. How comes hayo matukio yaende pamoja?
 
Mkuu biblia sio kitabu cha historical facts maana matukio sio yote yaliyorekodiwa.

So historical fact ni kwamba kma Herodius alikua anatawala kipindi Yesu anazaliwa ina maana it had to be 4 BC ila kipengele kingine kinadai Yesu alizaliwa enzi za Ile sensa ya Gavana Qurinius sasa hyu alipewa mamlaka ya kuitawala Judaeah bila uwepo wa liwali/Herodius so naye kihistoria alifanya hyo sensa 6 AD.

Ikimaanisha wote hawawezi kuishi wakati mmoja na hta wangeishi wakati mmoja kufikia hyo sensa cheo cha Herodius kilishafutwa..... Ssa basi nani mkweli hapo juu ya mwaka aliokuja Yesu duniani?

Kuhusu uwekaji tarehe Yes warumi walitunza takwimu sana tu na hta ukitumia radiometric dating bado itakupeleka kwenye hiyo miaka kwa tofauti ya +/-10. So walikua makini kwenye utunzaji taarifa na ndio maana mpka leo unatumia kalenda yao kujua leo ni tarehe ngapi!!

NB Herode alikufa miaka 9 kabla ya sensa ikimaanisha alikufa 3 BC na ndio maana wanahesabu 4 BC sabanu ndio unaweza kuwa miaka yake ya mwisho kutawala kabla ya kifo ama cheo kufutwa
Umekiri kuwa matukio yote hayajarekodiwa kwenye biblia. Uko sawa maana yangerekodiwa yote kisingetosha kuandikwa.

Soma vizuri biblia na uilewe, hakuna clear date imetajwa kwenye biblia kuwa Yesu kristo alizaliwa lini. Bali ni historical events tu ndio zinatoa mwanga kuwa huenda ni kipindi Masihi alizaliwa. Hakuna clear date kama unavyotapatapa.

Una uhakika cheo cha Herode kilifutwa? Mbona walipotaka kumsurubisha walisema mpelekeni kwa Herode? Then Pilato.
 
Issue sio kalenda issue ni hii
Herodius na Quirinius nani alikua anatawala wakati Yesu anazaliwa?

Sensa ilifanyika wakati wa Quirinius tu je kivp herodius alikua hai?

Ssa hayo matukio yana tarehe tofauti haya over lap na ndio swali langu.

Mfano mtu aseme wakati wa utawala wa Rais Mwinyi Volatility alizaliwa...... Alafu kipengele kingine; kipindi cha kuungana ASP na TANU Volatility alizaliwa. How comes hayo matukio yaende pamoja?
Acha kuchanganya mambo, iko wazi hakuna exact date ya lini Yesu alizaliwa. Ni kutumia historicak events tu ndio watu wanafanya assumptions. Kwa hiyo tuliza munkari. Kusema kwamba ilikuwa kipindi cha Herode mkuu aua kipindi cha sensa ya Kaisari Agust hakuna condradiction.

Maana ni kuassume kuwa kuanzia utawala wa Herode mkuu mpaka sensa inafanyika ndani ya hiyo miaka ndio Jesus alizaliwa. Tuliza mzuka.
 
Umekiri kuwa matukio yote hayajarekodiwa kwenye biblia. Uko sawa maana yangerekodiwa yote kisingetosha kuandikwa.

Soma vizuri biblia na uilewe, hakuna clear date imetajwa kwenye biblia kuwa Yesu kristo alizaliwa lini. Bali ni historical events tu ndio zinatoa mwanga kuwa huenda ni kipindi Masihi alizaliwa. Hakuna clear date kama unavyotapatapa.

Una uhakika cheo cha Herode kilifutwa? Mbona walipotaka kumsurubisha walisema mpelekeni kwa Herode? Then Pilato.
Mathayo 2:22
Lakini aliposikia ya kwamba Arkelao anamiliki huko Uyahudi mahali pa Herode babaye, aliogopa kwenda huko.

Implying kwa mathayo, Herodius the great alishakufa siku chache tu baada ya Yesu kuzaliwa na sasa utawala ulikua chini ya Mtoto wake aitwaye Archelius....

Lakini wakati wa Sensa ya Quirinius kwenye Injili ya Luka Herode the Great hatajwi popote wakati wa Yesu kuzaliwa. Na kiushahidi wa kihistoria Herod the Great na Qurinius hawakufanya kazi wakati mmoja.

Je Mathayo na Luka nani mkweli? Tusaidiane hapo
 
Acha kuchanganya mambo, iko wazi hakuna exact date ya lini Yesu alizaliwa. Ni kutumia historicak events tu ndio watu wanafanya assumptions. Kwa hiyo tuliza munkari. Kusema kwamba ilikuwa kipindi cha Herode mkuu aua kipindi cha sensa ya Kaisari Agust hakuna condradiction.

Maana ni kuassume kuwa kuanzia utawala wa Herode mkuu mpaka sensa inafanyika ndani ya hiyo miaka ndio Jesus alizaliwa. Tuliza mzuka.
Hapana Luka is very clear kwamba Yesu alizaliwa kipindi cha sensa...... Mathayo akadai alizaliwa kipindi cha Herode Mkuu!
Sasa hao wameachana miaka 10 katikati yaani Herode kafa 4 BC na Qurinius kaitisha sensa 6 CE/AD sasa hapo gap la miaka 10 utasemaje kazaliwa kipindi hicho wakati matukio yote mawili yameachana mbali.

Yaani ww useme nilizaliwa kipindi TANU na ASP zinaungana

Mwingine aseme Umezaliwa kipindi cha uchaguzi wa kwanza wa vyana vingi!!

Hivi kweli hizo facts zinaenda pamoja kuelezea birthdate ya mtu? Are we serious?
 
Naomba uwe muelewa, hakuna mahala kwenye biblia imetajwa exact date ya kuzaliwa Jesus Christ.

Kwamba huyu amesema wakatinsensa na huyu wakati wa mfalme Herode ni histotival events ambazo zote zipo zilifanyika kipindi Jesus alizaliwa na ni vitu ambavyo haijathibitishwa kama unavyotaka kuaminisha watu. Luka 1:5 inazungumzia habari za Mfalme Herode.

Hakuna mahala kwenye biblia imetamka bayana ni lini exact Jesus alizaliwa.
 
Mathayo 2:22
Lakini aliposikia ya kwamba Arkelao anamiliki huko Uyahudi mahali pa Herode babaye, aliogopa kwenda huko.

Implying kwa mathayo, Herodius the great alishakufa siku chache tu baada ya Yesu kuzaliwa na sasa utawala ulikua chini ya Mtoto wake aitwaye Archelius....

Lakini wakati wa Sensa ya Quirinius kwenye Injili ya Luka Herode the Great hatajwi popote wakati wa Yesu kuzaliwa. Na kiushahidi wa kihistoria Herod the Great na Qurinius hawakufanya kazi wakati mmoja.

Je Mathayo na Luka nani mkweli? Tusaidiane hapo
Nakuambia acha kukariri, soma Luka 1:5 mfalme Herode ametajwa.

Hii habari unayozumguza haina proof. Kumbuka Luka alikuwa ni mtalaamu wa historia tena Dk. Narrations za events zisikuchanganye.

Wanazuoni walishafanya utafiti juu ya hichi unachoraise na wakapata majibu.
 
Mkuu acha ubishi wa ki-CCM; Herode ni cheo sio mtu.
Herode the Great alikufa 4 BCE kihistoria

Na cheo chake kikachukuliwa na mwanaye yaani Archelius

Sasa Shida ni kwamba kipindi Yesu anazaliwa kwenye Luka hakuna popote hyo story ya Herode mkubwa inatajwa na ndio maana hyo luka 1:4 ni kabla Yesu hajazaliwa.

Ssa tuelezane Je Yesu alizaliwa kipindi cha Sensa ya Quirinius 6 CE ama kipindi cha Herode akiwa hai 4 BC?

NB: Hakuna conclusive date popote pale kwenye tafiti zote kwamba Yesu alizaliwa mwaka fulani pekee kma ipo naomba uweke hapa hyo conclusive paper!!

Narudia tena HAIPO maana haiwezekani Herode the Great na Quirinius wawepo hai muda mmoja.

Kasome kitabu credible zaidi cha Antiquities of the Jews.... Usome lineage ya Herodotus ndipo urudi hapa kudebate.
 
Naomba uwe muelewa, hakuna mahala kwenye biblia imetajwa exact date ya kuzaliwa Jesus Christ.

Kwamba huyu amesema wakatinsensa na huyu wakati wa mfalme Herode ni histotival events ambazo zote zipo zilifanyika kipindi Jesus alizaliwa na ni vitu ambavyo haijathibitishwa kama unavyotaka kuaminisha watu. Luka 1:5 inazungumzia habari za Mfalme Herode.

Hakuna mahala kwenye biblia imetamka bayana ni lini exact Jesus alizaliwa.
Ndio nakuelewesha kwamba hizo events zina gaps ya miaka 10 na zimetokea chini ya tawala mbili tofaut sawa na Awamu ya mkapa mpka Awamu ya JPM ssa mtoto gani amezaliwa ndani ya miaka 10??

Kwenye mathayo 1 ipo open kabisa Yesu kazaliwa na karudi Judaea kipindi Herode kafa.... Historically its 4 BC so hapa hamna mjadala.

Luka 2 anadai kipindi cha sensa ndipo wazazi wakaenda bethlehem na Yesu akazaliwa so historically (Tunatumia kalenda ya hao hao warumi) sensa hii ilifanyika 6 CE

So mpka hapo tuna tarehe mbili tofauti enhee ipi ni ya kweli?
 
Wapi kwenye biblia imeandikwa hivyo unavosema? Unajua maana ya narrative historical explanation?
 
Mkuu acha ubishi wa ki-CCM; Herode ni cheo sio mtu.
Herode the Great alikufa 4 BCE kihistoria

Na cheo chake kikachukuliwa na mwanaye yaani Archelius

Sasa Shida ni kwamba kipindi Yesu anazaliwa kwenye Luka hakuna popote hyo story ya Herode mkubwa inatajwa na ndio maana hyo luka 1:4 ni kabla Yesu hajazaliwa.

Ssa tuelezane Je Yesu alizaliwa kipindi cha Sensa ya Quirinius 6 CE ama kipindi cha Herode akiwa hai 4 BC?

NB: Hakuna conclusive date popote pale kwenye tafiti zote kwamba Yesu alizaliwa mwaka fulani pekee kma ipo naomba uweke hapa hyo conclusive paper!!

Narudia tena HAIPO maana haiwezekani Herode the Great na Quirinius wawepo hai muda mmoja.

Kasome kitabu credible zaidi cha Antiquities of the Jews.... Usome lineage ya Herodotus ndipo urudi hapa kudebate.
Ahaaa. Habari za Ccm zimetoka wapi? Hapa tunazungumzia biblia na kuzaliwa Yesu.

Kwani tukio likiwa ndani ya miaka 20 haliwezi kuwa recorded?
 
Wapi kwenye biblia imeandikwa hivyo unavosema? Unajua maana ya narrative historical explanation?
Luka 2
Yusufu naye aliondoka Galilaya, toka mji wa Nazareti, akapanda kwenda Uyahudi mpaka mji wa Daudi, uitwao Bethlehemu, kwa kuwa yeye ni wa mbari na jamaa ya Daudi;
5 ili aandikwe pamoja na Mariamu mkewe, ambaye amemposa, naye ana mimba.
6 Ikawa, katika kukaa huko, siku zake za kuzaa zikatimia
,

Mathayo 2
1 Yesu alipozaliwa katika Bethlehemu ya Uyahudi zamani za mfalme Herode

Which is which wakati wa Sensa au Herode?
 
Ahaaa. Habari za Ccm zimetoka wapi? Hapa tunazungumzia biblia na kuzaliwa Yesu.

Kwani tukio likiwa ndani ya miaka 20 haliwezi kuwa recorded?
Shida ni kwamba tawala ni mbili tofauti kabisa. Huwezi rekodi mtu kazaliwa kipindi cha mkapa na hapo hapo utoe dai mtoto kazaliwa enzi za Majaliwa akiwa waziri mkuu!! Does it make sense?
 
Luka 2
Yusufu naye aliondoka Galilaya, toka mji wa Nazareti, akapanda kwenda Uyahudi mpaka mji wa Daudi, uitwao Bethlehemu, kwa kuwa yeye ni wa mbari na jamaa ya Daudi;
5 ili aandikwe pamoja na Mariamu mkewe, ambaye amemposa, naye ana mimba.
6 Ikawa, katika kukaa huko, siku zake za kuzaa zikatimia
,

Mathayo 2
1 Yesu alipozaliwa katika Bethlehemu ya Uyahudi zamani za mfalme Herode

Which is which wakati wa Sensa au Herode?
Nakuambia aliekukaririsha amekupotosha. Both times are correct.
 
Shida ni kwamba tawala ni mbili tofauti kabisa. Huwezi rekodi mtu kazaliwa kipindi cha mkapa na hapo hapo utoe dai mtoto kazaliwa enzi za Majaliwa akiwa waziri mkuu!! Does it make sense?
Unataka exact date? Au simulizi za Dk Luke na St Mathew ambazo zipo ndani ya miaka 10+?
 
SHALOM! Zitto Jr.

Kwanza Kabisa pongezi kwako kwa Utafiti na uchunguzi wa Maandiko!
Vitabu vya Injili vyote - Four Gospel kwa jina moja vinajulikana kama Synopsis kutokana na Ujumbe zilioubeba unafanana kwa ukaribu sana.

Mathayo - Amejikita katika katika Ukoo wa Yesu.
Luka - ameeleza Maisha ya Yesu kwa Ujumla wake bila Kubakiza.
Marko - inakazia matendo,Uthabiti na Uimara wa Misheni ya Yesu
hasa hasa mwishoni mwa maisha yake.
Yohana - Anamweleza YESU kwa Nafasi ambayo injili zote hazijamueleza kabisa,Yaani Ukuu na Uungu wa YESU,Mamlaka na Nafasi yake Katika Utatu Mtakatifu - Kifupi Inaeleza Mamlaka Makuu ya YESU kama MUNGU.

Nani aliviandika Vitabu haina Maana sana kwangu Mimi niungane na Mchangiaji mwenzangu aliyepita - Kikubwa ni Ujumbe Mahususi uliobebwa hapo.

Hiyo unaoiiita Q Theory ni Nadharia ya Watu wadadisi ambao hauwezi kujibiwa kwa urahisi kiasi hicho - Mtu katengeneza Swali ambalo ni uhakika linatokana na Utofauti wa maneno machache sana ambayo hayapotezi maana ya Msingi (Intellectual arguments).

Mfano :- Mathayo 2:1 inaonyesha Yesu alizaliwa kipindi cha Herode (4 BC) ila Luka 2:2-3 inaonyesha Yesu alizaliwa kipindi cha Governor Quirinius (6 AD). Ila kungetumika source moja tu mfano hyo Q source ingesaidia kuondoa discrepancy zote zilizopo na kuweka msimamo mmoja wa Injili.

JIBU:- YESU alizaliwa Wakati wa Utawala wa WARUMI,Rumi iliitawala Yerusalemu na kuweka Indirect Rule ili kutosababisha Sintofahamu za utofauti wa Mila na Desturi za Wayahudi na Warumi ( HAWACHANGAMANI KABISA NA MATAIFA - GOYIM). Ndio maana wakaruhusu awepo Mtawala anayejua Mambo yao HERODE.
Hivyo kwa mantiki hiyo hakuna Utofauti hapo - Herode alikuwepo na Warumi walikuwepo - Overlapping.

Mwisho - Yapo mambo mengi yenye Utofauti kwa Mfano Kwenye Mathayo 7:7 ... Yesu ametumia mfano wa JIWE na MKATE, kwenye Marko akiyarudia Maneno yale yale ametumia Mfano wa YAI na NGE. - Maneno Tofauti Maana Ile ile.
No big Deal here.

Ikumbukwe hayo yalioandikwa ni machache sana ya yale yaliyotukia katika Maisha ya YESU - Biblia imelisema hili vema kabisa,kuwa iwapo yote yangeliandikwa isingetosha...

Asante .
Usisahau saa ya kufa kwa yesu waandishi watatu wametofautiana
 
Nakuambia aliekukaririsha amekupotosha. Both times are correct.
Mkuu nimesoma diploma kabisa ya theology so have some respect kudai nimekaririshwa.

How correct are they? Si ulisema kuna tafiti zilishafanyika ika arrive kwenye one date na mjadala ukafungwa.... Unaweza weka link hapa?

Correct ni ipi. 4 BC au 6 AD?
 
Unataka exact date? Au simulizi za Dk Luke na St Mathew ambazo zipo ndani ya miaka 10+?
Wote wametaja kipindi ssa mmoja kataja tukio la miaka 10 baadae mwingine kataja tukio lililotokea miaka 10 iliopita kwamba ndani ya hizo wiki/mwezi/mwaka Yesu alizaliwa.

So mmoja lazma ndio anaongea ukweli unless ungesema watafsiri ndio walikosea but as it stands matukio mawilu tofauti yanatajwa kma ndio Yesu alizaliwa.

Ssa tupe mwaka mmoja unaodhani Yesu alizaliwa..... Kumbuka tuko 2021 AD
 
Back
Top Bottom