zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
- Thread starter
- #61
Mkuu biblia sio kitabu cha historical facts maana matukio sio yote yaliyorekodiwa.Tupe ushahidii wa kibiblia ukionyesha Herodius unayemsema alikuwa ameshakufa wakati sensa inafanyakika. Na alifariki miaka mingapi huko nyuma kabla ya sensa.
Je, uwekaji kumbukumbu kwenye historia kwa kutumia matukio unakiwa uwe exactly? Namaanisha kuweka tarehe kwa kutumia matukio.
So historical fact ni kwamba kma Herodius alikua anatawala kipindi Yesu anazaliwa ina maana it had to be 4 BC ila kipengele kingine kinadai Yesu alizaliwa enzi za Ile sensa ya Gavana Qurinius sasa hyu alipewa mamlaka ya kuitawala Judaeah bila uwepo wa liwali/Herodius so naye kihistoria alifanya hyo sensa 6 AD.
Ikimaanisha wote hawawezi kuishi wakati mmoja na hta wangeishi wakati mmoja kufikia hyo sensa cheo cha Herodius kilishafutwa..... Ssa basi nani mkweli hapo juu ya mwaka aliokuja Yesu duniani?
Kuhusu uwekaji tarehe Yes warumi walitunza takwimu sana tu na hta ukitumia radiometric dating bado itakupeleka kwenye hiyo miaka kwa tofauti ya +/-10. So walikua makini kwenye utunzaji taarifa na ndio maana mpka leo unatumia kalenda yao kujua leo ni tarehe ngapi!!
NB Herode alikufa miaka 9 kabla ya sensa ikimaanisha alikufa 3 BC na ndio maana wanahesabu 4 BC sabanu ndio unaweza kuwa miaka yake ya mwisho kutawala kabla ya kifo ama cheo kufutwa