zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
- Thread starter
- #21
NB: Uwepo wa Herode na Quirinius hauwezi over lap sababu mmoja alikua amekufa wakati mwingine akiwa ana tawala. Ni historical fact hiyo na ndio maana tarehe za kuzaliwa Yesu ziko contested mpaka leo.
Kama tunaamini neno la Mungu ni uvuvio wa Roho mtakatifu. Na kwa mujibu wa 1 Cor 2:10 Roho mtakatifu anajua kila kitu hata mafumbo ya Mungu. Sasa kma facts ndogo hivo zikinzane je hatuoni itapotosha authority ya Roho mtakatifu?