mtoa mada ni mimi,contradiction kwa ufahamu wangu ni kuongea jambo kuwa ni hivi lakini baadae unatoa maana nyingine tofauti na ya awali...Hujalielewa tu swali langi lakini lina msingi mkubwa sana na linakupeleka kwenye majibu...
Usidhani majibu pekee tu ndiyo hukosewa bali hata maswali hukosewa vile vile....
Halafu mbona umeuliza "maswali yangu hayo mawili",kwani wewe ndiye mtoa mada?
mimi nimeuliza kwa mujibu wa biblia,..anyways,nimekuelewaHakuna aliyeumbwa kwanza wala mwisho, hiyo ya uumbaji ni hadithi tu, mbona wanyama na binadamu walikuwepo mamilioni ya miaka kabla ya stori hii ya juzi juzi tu. Binadamu baada ya kuwa na akili na uelewa wameendelea kuitafuta asili yao bila mafanikio
Kama Mimi vile.... Mambo haya mapana ni heri nikashabikia mambo ya ccm na chademaNapenda sana kuchangia na kujadili hayo mambo hapa jamvini lakini siku hizi nakua mzito kwa sababu wachangiaji wengi wanaochangia humu tayari wana msimamo wao nyuma ya hoja wanazotoa.
Wachache wapo hapa kujifunza, wachache wanaheshimu jina la jamvi "intelligence", wanashindwa kuwa na busara ndogo tu kuwa jukwaa hili lina tofauti na jukwaa na dini au siasa, mada kama hizi mara nyingi huishia kutupiana vijembe, kuoneshana ubabe wa elimu zao
Kwa sasa acha nibaki msomaji tu
sio lazima kuwa mtoa mada ili kukusahihisha ingekuwa hivyo nyuzi nyingi zingekosa uchangiajiHujalielewa tu swali langi lakini lina msingi mkubwa sana na linakupeleka kwenye majibu...
Usidhani majibu pekee tu ndiyo hukosewa bali hata maswali hukosewa vile vile....
Halafu mbona umeuliza "maswali yangu hayo mawili",kwani wewe ndiye mtoa mada?
Sawa,acha niende na maana yako hii hii,sasa naanza na moja baada ya lingine....mtoa mada ni mimi,contradiction kwa ufahamu wangu ni kuongea jambo kuwa ni hivi lakini baadae unatoa maana nyingine tofauti na ya awali...
kama nimekosea kuielezea kwa kiswahili nirekebishe lakini lengo langu ni kusema kuwa maandiko ya kwenye biblia yanajipinga yenyewe
Haya maandiko yako ni sawa na mtu aseme 'Nimetengeneza nyumba na gari" halafu sehemu nyingine mtu yule yule aseme "Nilitengeneza nyumba kisha baadaye nikatengeneza gari",huyu mtu anakuwa anajipinga namna ipi?1. Genesis chapter 1
God created adam and eve
Genesis chapter 2
God created adam and then eve later
Tatizo siyo wewe kunisahihisha bali ni wewe kuonekana kama ni mtoa mada na ndiyo maana nimekuuliza....sio lazima kuwa mtoa mada ili kukusahihisha ingekuwa hivyo nyuzi nyingi zingekosa uchangiaji
nani aliumbwa kwanza?adam au eva?
mwenzangu kama huoni contradiction mimi naiona,nikisema nimeanza kuumba yai halafu nikaumba kuku,halafu kesho nikakwambia nilianza kuumba kuku halafu nikaumba yai utaamini kauli zangu!!!!!?Sawa,acha niende na maana yako hii hii,sasa naanza na moja baada ya lingine....
Hapa chini ni moja ya maandiko unayodaiwewe kuwa yanajipinga,unaweza kunieleza hapo hayo maandiko uliyonukuu yanajipinga namna gani?
Haya maandiko yako ni sawa na mtu aseme 'Nimetengeneza nyumba na gari" halafu sehemu nyingine mtu yule yule aseme "Nilitengeneza nyumba kisha baadaye nikatengeneza gari",huyu mtu anakuwa anajipinga namna ipi?
Ulichokiandika kwenye post yako ya kwanza hakifanani na hiki....mwenzangu kama huoni contradiction mimi naiona,nikisema nimeanza kuumba yai halafu nikaumba kuku,halafu kesho nikakwambia nilianza kuumba kuku halafu nikaumba yai utaamini kauli zangu!!!!!?
mkuu contradiction is what came first,..ni muhimu sababu tunaambiwa eva alitoka ubavuni mwa adam,lakini ghafla unaambiwa eva aliumbwa kabla ya adam...mimi naona contradictionUlichokiandika kwenye post yako ya kwanza hakifanani na hiki....
Ulichokiandika kwenye post yako ya kwanza ni sawa na useme "uliumba kuku na yai" kisha uje useme baadaye kuwa "uliumba kuku kisha baadaye ukaumba yai"....
Pia,sijasema hakuna contradiction au ipo,nimekuambia unioneshe ilipo....
Mbona jambo rahisi sana hilo?
Huwa napenda sana mjadala unaoeleweka,hapa tunaelekea kusikoeleweka....mkuu contradiction is what came first,..ni muhimu sababu tunaambiwa eva alitoka ubavuni mwa adam,lakini ghafla unaambiwa eva aliumbwa kabla ya adam...mimi naona contradiction