nyabhingi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 15,602
- 20,181
- Thread starter
- #21
mtoa mada ni mimi,contradiction kwa ufahamu wangu ni kuongea jambo kuwa ni hivi lakini baadae unatoa maana nyingine tofauti na ya awali...Hujalielewa tu swali langi lakini lina msingi mkubwa sana na linakupeleka kwenye majibu...
Usidhani majibu pekee tu ndiyo hukosewa bali hata maswali hukosewa vile vile....
Halafu mbona umeuliza "maswali yangu hayo mawili",kwani wewe ndiye mtoa mada?
kama nimekosea kuielezea kwa kiswahili nirekebishe lakini lengo langu ni kusema kuwa maandiko ya kwenye biblia yanajipinga yenyewe