👌🏿💪🏿💪🏿💪🏿Asante sana Kaka, this weekend lazima nije. Sitakuangusha
Kumbukumbu la Torati 14:22,24-26
[22]Usiache kutoa zaka ya fungu la kumi katika maongeo yote ya mbegu zako, yatokayo shamba mwaka baada ya mwaka.
Thou shalt truly tithe all the increase of thy seed, that the field bringeth forth year by year.
Kutoa kila wiki/ kila mwezi ni Wiki na utapeliFungu la kumi la kutoa kila wiki au hata kila mwezi, Lina tofauti gani na Fungu la kumi la kutoa mara moja kwa Mwaka????
Hizo pesa na Mali zilizokua zikitolewa zilikua zinaliwa na nani?Wewe pia akili hauna ....Fungu la kumi ni sadaka ya HEKALU siyo KANISA wala SINAGOGI wala MSIKITI...Tena duniani HEKALU lilikuwa moja tu narudia tena HEKALU lilikuwa moja tu...hata ujenge jengo kubwa na zuri kiasi gani aliwezi kuwa HEKALU ...ndiyo maana hata wakati wa kale wa yesu kulikuwa na masinagogi ila ayakupata fungu la kumi wala hakuna aliyetoa fungu la kumi kwenye SINAGOGI lilipelekwa HEKALUNI TU ....HEKALU siyo nyumba ya kawaida ya ibada ni tofauti na hayo MAKANISA yenu na MASINAGOGI na MISIKITI yenu ndiyo maana hata daudi na uchamungu wake wote akuruhusiwa kujenga HEKALU ila MISIKITI na MAKANISA na MASINAGOGI mtu yoyote anaweza kujenga atakavyo wakati wowote..
Wakristo ni wapumbavu sana amna akili kabisa ni wapuuzi watupu.
Changamoto za afya ya akili zinawatesa wengiMbona umeishia kutoa matusi bila kudadavua vizuri ueleweke
Kutoa kila wiki/ kila mwezi ni Wiki na utapeli
Aisee,sikujua hili..Wewe pia akili hauna ....Fungu la kumi ni sadaka ya HEKALU siyo KANISA wala SINAGOGI wala MSIKITI...Tena duniani HEKALU lilikuwa moja tu narudia tena HEKALU lilikuwa moja tu...hata ujenge jengo kubwa na zuri kiasi gani aliwezi kuwa HEKALU ...ndiyo maana hata wakati wa kale wa yesu kulikuwa na masinagogi ila ayakupata fungu la kumi wala hakuna aliyetoa fungu la kumi kwenye SINAGOGI lilipelekwa HEKALUNI TU ....HEKALU siyo nyumba ya kawaida ya ibada ni tofauti na hayo MAKANISA yenu na MASINAGOGI na MISIKITI yenu ndiyo maana hata daudi na uchamungu wake wote akuruhusiwa kujenga HEKALU ila MISIKITI na MAKANISA na MASINAGOGI mtu yoyote anaweza kujenga atakavyo wakati wowote..
Wakristo ni wapumbavu sana amna akili kabisa ni wapuuzi watupu.
Biblia imesema zaka itolewe mara moja tu kwa mwaka.Utapeli upo wapi hapo?
Na unaona waumini wangefanikiwa kutoa mara moja kwa Mwaka, kama wangefata ya Biblia?
Hiyo si itakuwa ni mwisho wa Mwaka.. Mwisho wa mwezi Disemba? Au lini?
Bado nauliza utofauti wa kiasi utakuwa wapi?
Wafanyabiashara, na wafanyakazi (vibarua na watumwa) walikuwepoWayahudi wengi walikuwa ni wakulima na wafugaji kama tunavyojua shughuli hizi mazao yao yanapatikana baada mwaka mzima ila sasa Dunia ya sasa imebadilika watu kila mwezi wanaingiza pesa
Na wewe uko sawa tu na sisi, ndege wafananao huruka pamojaKiukweli uzi huu
Nimeona wengi u GT
Na uwezo wa nje ya BOKSI
Kuanzia mleta mada
Bado low low na nasikitika ni kupitia Dini, mmeonyesha mkoje.
Duh!!!!!!!!
Na subscribe nijege niwasome mlivyo mbeleni, nikiwa nataka kusoma pa kusongesha muda.
Biblia imesema zaka itolewe mara moja tu kwa mwaka.
Anayekwambia utoe kila mwezi, maana yake utatoa zaka mara 12 kwa mwaka, kitu ambacho si agizo la Mungu.
Anayekwambia utoe kila wiki, huyo anataka utoe zaka mara 52 kwa mwaka, ni shetani kabisa huyo
Hatari sana sheikhAisee,sikujua hili..
Ila ch kushangaza Wakristo wanatawala Dunia katika kila nyanja!
Sasa kama Wapumbavu wasio na akili wanaitawala Dunia..
Sasa hapo wanaotawaliwa wakoje!
Na wewe uko sawa tu na sisi, ndege wafananao huruka pamoja
Dr shoo hii mistari haijui, pamoja na elimu yakeKumbukumbu la Torati 14:22
[22]Usiache kutoa zaka ya fungu la kumi katika maongeo yote ya mbegu zako, yatokayo shamba mwaka baada ya mwaka.
Thou shalt truly tithe all the increase of thy seed, that the field bringeth forth year by year.
Kumbukumbu la Torati 14:22,24-26
[22]Usiache kutoa zaka ya fungu la kumi katika maongeo yote ya mbegu zako, yatokayo shamba mwaka baada ya mwaka.
Thou shalt truly tithe all the increase of thy seed, that the field bringeth forth year by year.
[24]Na njia ikiwa ndefu mno nawe, usiweze kuzichukua kwa kuwa mahali ni mbali nawe mno atakapochagua BWANA, Mungu wako, apakalishe jina lake, hapo atakapokubarikia BWANA, Mungu wako;
And if the way be too long for thee, so that thou art not able to carry it; or if the place be too far from thee, which the LORD thy God shall choose to set his name there, when the LORD thy God hath blessed thee:
[25]ndipo uzibadili ziwe fedha, na kufunga zile fedha uende nazo mkononi mwako, hata mahali atakapochagua BWANA, Mungu wako;
Then shalt thou turn it into money, and bind up the money in thine hand, and shalt go unto the place which the LORD thy God shall choose:
[26]na zile fedha zitumie kwa cho chote itakachotamani roho yako, ng’ombe, au kondoo, au divai, au kileo, au roho yako itakacho kwako cho chote; nawe utakula huko mbele za BWANA, Mungu wako; tena furahi, wewe na nyumba yako;
And thou shalt bestow that money for whatsoever thy soul lusteth after, for oxen, or for sheep, or for wine, or for strong drink, or for whatsoever thy soul desireth: and thou shalt eat there before the LORD thy God, and thou shalt rejoice, thou, and thine household,
Fungu la kumi la kipato cha wiki ndilo hilo hilo fungu la kumi la kipato cha mwaka. Tafuta calculator, sasa hivi zinapatikana japo za mtumbaKumbukumbu la Torati 14:22