Biblia inasema fungu la kumi litolewe mara moja tu kwa mwaka, hawa wanaodai fungu la kumi kila wiki ni wezi. Fungu la 10 waweza kulinywea hata pombe

mbona YESU hakuwa na kanisa? na wala hakuwa kiwaambia wa2 watoe sadaka wampe yeye ata watoza ushuru walipomfuata ili atoe kodi,alikamata samaki baharini akakamata samaki,akampasua akatoka vipande vya pesa na kuwapa ata alipokuwa akitembea wafuasi wengi walikuwa wakimfuata,kuna jamaa mmoja alikuwa mfupi sana alikuwa juu ya mti apate kumwona YESU,na YESU alipomwona alimwambia shuka juu ya mti leo nakuja kula chakula nyumbani mwako,,YESU alisisitiza matajiri kusaidia masikini na wala sio kuwakamua masikini,na YESU alikuwa hatozi kiasi chochote cha pesa ili uweze kumona,no,ilikwa kumwona ni frii,YESU alikuwa hana nyumba ya kuishi wala mali yoyote,mpaka shetani akamdharau na kwenda kumlghai kwamba akimsujudu atampa mali kibao,,,,,na wala hakuwai kuwapangia watu kiasi cha sada{alikuwa hatozi sadaka] na ata alipofika kwenye sinagogi alikuta mama mmoja masikini,ambae ktk kutoa kwake sadaka alitoa kiasi kidgo mno kuliko waumini wote,,lakini YESU alimsifu na kusema"hakika huyma mama sadaka imepokelewa kwani ametoa kwa moyo wake wote",,kwa makanisa ya leo huyu mama angelifukuzwa,,ata mitume wakebaada ya YESU kuondoka walikuwa hawatozi sadaka,,ni YUDA ISKARI tu ndo alikuwa na tamaa ya pesa na akapokea rushwa ili YESU akamatwe,,,,nakumbuka kuna video moja ina tred mchungaji kamwaga pesa chini huku akiwakebehi wa2mishi kwa kutoa sadaka kidogo,,,,,kwa makanisa yaleo kuna baadhi matajiri ndo wanakaa mbele,masikini nyuma!!! nasisisztiza "YESU HAKUWA NA KANISA,BALI ALIKUWA ANAZUNGUKA HUKU NA KULE KAMA MASOKONI NA KWENYE MIKUSANYIKO YA WA2 AKIHUBIRI INJILI!!!!!!!!
 
Hii vita ni ngumu sana Kwa sababu mnaonufaika na sadaka za wanyonge mko tayari kuutetea ufisadi wenu wa kiimani Kwa vifungu vya maandiko visivyo rasmi ,watumishi feki wa Mungu leo wanaishi maisha ya anasa huku waumini wao wakiteseka bila huruma, silazimishwi kutoa na ukweli sishawishiki na mahubiri yao feki lakini haki ya kuongea ninayo na hakuna wa kunifunga mdomo, Mungu libariki kanisa la Tanzania
 
mzee makoye umeongea ukweli m2pu,ujue cha ajabu pamoja na mahela wanayokusanya na ukwasi walionao baadhi ya wahubiri hawa,lakini muumini wao mmoja masikini akiumwa ugonjwa mmbaya kama kansa,presuure strok n,k,,lakini bila huruma,,,badala ya kutoa kiasi cha pesa alizo nazo au aitishe mchango kwa ajili muumini huyo kupata huduma ya hospitali,bila aibu huku ametoa macho kama nyoka!!!,,,,anamfanyia matokeo yake mgonjwa anakufa,na ata kwenye mazishi ya huyo masikini uwezi amini sadaka zinakusanywa,,,yaani wapiga mpaka makaburi...ndo manake MUNGU alisema" na nitapiga mihuri kwenye miyoyo ya wa2 wangu nao wataacha kuja kwenye huduma zenu,kwani mumezidi kuwapotosha" yaani manake kupiga muhuri kwenye miyoyo ya wa2 ni kwamba,wa2 watamtambua MUNGU bila huduma za hawa jamaa!!!!!...
 
Umesema kweli hawa manabii na wachungaji feki kipaumbele chao cha kwanza ni pesa tu, kuna mtumishi mmoja alikuwa anamwombea muumani mmoja lakini kabla ya kumwombea alimuuliza kama huwa anatoa fungu la kumi akamwamwambia bila kutoa fungu la kumi hawezi kupona!! Very sad
 
Kiukweli uzi huu
Nimeona wengi u GT
Na uwezo wa nje ya BOKSI
Kuanzia mleta mada

Bado low low na nasikitika ni kupitia Dini, mmeonyesha mkoje.

Duh!!!!!!!!

Na subscribe nijege niwasome mlivyo mbeleni, nikiwa nataka kusoma pa kusongesha muda.
Hesabu dada, hesabu ngumu 🤣🤣
 
Ndio ndugu yangu🤣🤣
Ila tutoe tu maana kanisa lile ni kubwa, na ule uwanja wetu wa B 2 na point zake🤣🤣

Ila hio big may na November waziangalie vizuri, yaani huko ni zaidi ya kujimaliza, na nikiwango kikubwa cha ubinafsi, kuna familia na mahitaji mengine so kutoa pato lako lote kanisani kwa mfumo wa maisha haya si haki aisee.
 
Sasa unaogopa nini wasikuzike , wakati ww tayari umemshakufa,
Hehe ningekua naogopa ningekua tayari naenda na hio system....mie kwa mwaka naweza nikasali hata makanisa 30 atakaenizika simjui kikubwa mbele kwa mbele....huku kelele zikizidi nahamia huku......kuna mwaka nilikua nazama hadi misikitini kikubwa Mungu mmoja
 
Povu langu liko wapi? Mtindio wangu wa ubongo uko wapi? Kwa kuwapa watu mnurulisho (enlightenment) na kuwatoa kwenye Giza la matapeli wa KIROHO?

Kama nimechokonoa maslahi yako pole, acha utapeli
Hao wanaopeleka huko hela,kunasiku walishawahi kuja kwako kuomba msaada.

Mind you bidness,ni upunguani kujipa umuhimu kwa watu ambao wala hawakuhusu.
 
Hao wanaopeleka huko hela,kunasiku walishawahi kuja kwako kuomba msaada.

Mind you bidness,ni upunguani kujipa umuhimu kwa watu ambao wala hawakuhusu.
Mind your bidness mwenyewe, kama bidness ni tusi, likuchape na radi
 
Hekaluni unatakiwa kupanda mara ngapi kwa mwaka?
 
Kama kanisa la Mwamposa sio hekalu, kwanini akusanye zake?
 
Sijapitia maandiko yako lakini nipende tu kukujulisha kuwa maisha ya Wana wa Israeli kipindi hicho ni tofauti na maisha yetu leo. Wao walikuwa wanatoa fungu la kumi la vitu hai (Ngombe, kondoo, mbuzi, kuku, mazao nk) na walikuwa wanatoa kwa kufuata misimu. Sisi leo fedha imechukuwa nafasi na watu wanapata vipato wakati wowote. Lakini nikiamua kukuchanganya zaidi ni kuwa ktk Agano Jipya utoaji ni tofauti na Agano la kale. Agano la kale walitoa 10%. Lakini Agano Jipya tunapaswa kutoa 90%. Kama unamjua Mungu huwezi kushangaa!. Lakini mnabishana bishana kuhusu fungu la kumi kwakuwa mmejaa Dini Yesu hamjamjua ipasavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…