Biblia inasema fungu la kumi litolewe mara moja tu kwa mwaka, hawa wanaodai fungu la kumi kila wiki ni wezi. Fungu la 10 waweza kulinywea hata pombe

Tatizo linalokusumbua ni wivu tu kuona watumishi wa Mungu wanaishi maisha mazuri,huko ladhi kuona waganga wa Kienyeji wako na maisha mazuri lakini sio watumishi wa Mungu,Soma bible huielewe acha maneno ya kijiweni,hakuna mahubiri feki hiyo unayoita feki kunawanaobarikiwa kwayo, ndio maana pamoja na kuwasema vibaya bado kanisa linaongezeka,hata wewe kama haujaenda ni suala la mda utakuwa huko.Ubarikiwe.
 
Fungu la kumi litolewe kwa wahitaji nafsi yako ikiwa imeridhia..!!
 
Sasa kipi Rahisi Kwa mfanyakazi kukusanya 1/10 ya Kila mwezi Kisha aitoe Kwa mara Moja mwisho wa mwaka ,

Au kuitoa Kila mwisho wa mwezi?

Mavuno ya mkulima ni mwaka baada ya mwaka,

Ila mapato ya mfanyakazi ni Kila mwezi,

Na mapato ya mfanyabiasha ni Kila siku,

Sasa 1/10 Iko pale pale, haijalishi unapitia Kila siku, au Kwa mwezi au Kwa mwaka.
 
Baada ya kufufuka Kwa Yesu, pazia la hekalu lilipasuka.

Hiyo ni Ishara kuwa, Ibada sasa inafanyika ndani ya MWILI wako.

Mwili wako ndilo hekalu Takatifu,

Ulipaji wa zaka uendane na kusikia sauti ya Mungu ndani Yako kupitia Roho wake mtakatifu.

Ni hayo tu.
 
Kuna tofauti baina ya...
1) Zaka na
2) Fungu la 10.... na
3) Sadaka..

Zaka ni sadaka kwa ajili ya walawi ambayo ilikuwa ni sadaka ya lazima tena iwe fungu la 10 ...hivyo siyo kila fungu la 10 ni ZAKA ..
MTU AKITOA FUNGU LA 10 AU LA 20 AU LA 30 NK KAMA SADAKA YA KAWAIDA HAJAKOSEA ...KOSA NI KUWAAMBIA WATU WATOE ZAKA ....HAKUNA TENA ZAKA DUNIANI...WALA ZAKA SIYO SADAKA YA KANISA.
Watu wanadhani kila sadaka ya fungu la 10 ni ZAKA😁
 
Taarabu kibao ila hujaeleza hekalu n nn
 
Wajasiriamali wa dini watakupinga.
 
Sasa mada Iko wazi,

Inaeleza vyema kuhusu fungu la kumi.

Ila kulipa fungu la kumi ni LAZIMA, usipige chenga kwamba hakuna hekalu Wala walawi wa kupelekewa zaka,

Lipa fungu la kumi, walawi ndio Hawa Hawa watumishi wa Mungu.
 
Sasa mada Iko wazi,

Inaeleza vyema kuhusu fungu la kumi.

Ila kulipa fungu la kumi ni LAZIMA, usipige chenga kwamba hakuna hekalu Wala walawi wa kupelekewa zaka,

Lipa fungu la kumi, walawi ndio Hawa Hawa watumishi wa Mungu.
Tumia akili unalipa kwa nani? Kama ni kanisani (jengo) basi umepotoka maanq kanisa siyo nyumba ya mungu wala ya ibada...labda nikuambie kanisa ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…